Uchaguzi 2020 Namna ya kudhibiti uwepo wa vituo hewa/bubu vya kupigia kura katika uchaguzi mkuu - 2020

Sasa naan

Sasa naanza kuelewa ni kwa nini walikuwa hawataki kutoa nakala za matokeo kwa mawakala
Nina hakika kuwa mawakala hawatagawiwa nakala kutoka vituoni. Wakisisitiza patachimbika. Wawape nakala ili mkajumlishe ilhali kuongeza idadi ya walioipigia ccm ndiyo njia kuu ya wizi? Thubutu!!!
 
Jamaa unaandika uwongo mwepesi sana,hata ushahidi ukuweka!!.

Alafu ujaeleza kwenye majumuisho ya kura za udiwani,Ubunge na Urais hizo kura za vituo hewa zitapenyezwaje,ilhali mawakala wakuu wa majumuisho wana nakala za matokeo za kila kituo cha kupigia kura na Ballot box zipo mbele yao wanaziona huku majumisho yakiendelea.


Vituo vyote vyenye masanduku yenye KURA za WIZI:-

1. MAWAKALAA watafanyiwa mizengwe kuingia kwenye VITUO VYA KUPIGIA KURA.

2. POLISI WATAANZISHA VURUGU KWA KISINGUZIO CHA UWEPO WA HISIA ZA FUJO ILI KUHALALISHA KUINGUZA MASANDUKU YENYE KURA ZA WIZI.
 
Kuna Wizi wa Kura Unaratibiwa na Usalama wa Taifa hapa Chuo kikuu cha Dar es salaam Katika ukumbi wa Yombo 4

Polisi wamemwagwa kibao na umeme umezimwa chuo kizima.
 
Yan aliyefukuza wafanyakaz feki na tuondoa wafanyakaz hewa leo anatengeneza kura feki na vituo vya kupiga kura Hewa
#niyeye
 
Kuna Wizi wa Kura Unaratibiwa na Usalama wa Taifa hapa Chuo kikuu cha Dar es salaam Katika ukumbi wa Yombo 4

Polisi wamemwagwa kibao na umeme umezimwa chuo kizima.
Harakati za wizi huu zipo kila mahali na watu wengi wanashiriki hujuma hii.. Sijaona hali hii katika uchaguzi tangu tuanze 1995 uchaguzi wa vyama vingi. Hii ni nafasi pekee ya kuondoa utawala dhalimu wa ccm. Inategemea chadema wanamkakati gani kwa sasa kwa kuwa hata wao wanaona aakihujumiwa machoni pao. Its now or never!!!
 
Back
Top Bottom