Namna nzuri ya kutunza battery ya laptop

Keen

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Posts
617
Reaction score
172
GTs, mimi ni mmoja wa watu wanaoheshimu taaluma za watu, hivyo natanguliza heshima kwa yeyote atakayenipa ushauri wa kitaaluma juu ya hili: namna ipi nzuri ya kutunza battery ya laptop? (a) kufanya kazi muda wote laptop ikiwa connected kwenye umeme hat kama battery iko full charged (b) ku-disconnect kwenye umeme kila battery inapokuwa full charged.

Nawasilisha kwa msaada na shukrani kwa wote.
 
jibu ni simple.. Laptop ni kama simu. Ikijaaa,utaambiwa unplug to save battery power.. So mkuu hapo inabidi uichaji na ikijaa ichomoe then tumia.. Ikisha chaji ndo utumie and not otherwise(japokuwa mimi sifanyi hivyo). Sidhan kama mtu unaweza itumie zaidi ya masaa nane continuously..(maana betri hukaa masaa nane when new)
 
Inategemea na aina ya laptop! Kila kampuni inayotengeneza laptop wameshatoa maelezo kuhusu hili so hilo swala limekuwa complicated hata huko ulaya! DELL wanasema hakuna haja ya ku unplug charger! HP wanasema battery ikijaa inabidi utoe kabisa baterry na utumie umeme directly. Apple wanasema chomoa charger na utumie ikiisha charge tena! Wengine wanasema battery ikijaa huwa computer inatumia umeme direct thats y unakuta charger haipati moto! All in all hata utumie njia gani after two to three years most of battery huwa zinakua zimekwisha nguvu! So hii mambo ni contradiction!
 
kuna mtu humu aliwahi weka thread akieleza kuhusu hili suala.
nakumbuka alitoa sababu za kisayansi kwa nini computer isichomolewe kwenye umeme hata ikijaa
 
Kama unataka longer life for your batt. ni kutoitumia! Chomoa kabisa batt kama uko sehemu yenye umeme, tumia batt kama uko mahali pasipo na umeme. Mimi laptop yangu napachika batt nikiwa natoka tu, nikiwa ofisi au nikirudi home naichomoa!
 
Kama unataka longer
life for your batt. ni kutoitumia! Chomoa kabisa batt kama uko sehemu
yenye umeme, tumia batt kama uko mahali pasipo na umeme. Mimi laptop
yangu napachika batt nikiwa natoka tu, nikiwa ofisi au nikirudi home
naichomoa!

Aaah,hivi kumbe mkuu unaweza kutumia umeme wa direct kwenye laptop hata ukichomoa battery na mashine isizingue?
 
Kama unataka longer life for your batt. ni kutoitumia! Chomoa kabisa batt kama uko sehemu yenye umeme, tumia batt kama uko mahali pasipo na umeme. Mimi laptop yangu napachika batt nikiwa natoka tu, nikiwa ofisi au nikirudi home naichomoa!

Hakika Hapo Lazima uwe na umeme wa uhakika sana sio kama tanesco hau Generator uchwala hizi zinazo sisimka na kuzima katikati bila taarifa...utapoteza data kama husave mara kwa mara....thats why battery inakuja kuwa na umuhimu wake.
 
Thats a good piece of advice, kwa bahati nzuri mimi hapa nilipo umeme haukatikagi na nilikua naongelea kwa experience yangu tu.
 
Acha miye naye niponee kwenye hii Siledi.
Eti Battery ya UPS inachukua mda gani ndipo inakufa kabisa.
 
Heshima kwenu wote mliochangia kwenye uzi wangu. I really appreciate your contributions guys na wengine ambao hawakupata nafasi ya kuchangia mpaka hatua hii au ambao watatoa mawazo yao baada ya shukrani hizi. Kutokana na tatizo la mtandao sikuwa online toka mara baada ya post hii.Hivyo sikupata nafasi ya kumshukuru kila mmoja wakati alipotoa mchango wake.

Happy valentine to you all!!
 
Me nadhani ni vyema kuichomoa pindi 2 inapokuwa full

laptop nying zina auto turn off charging system
ambayo yenyewe automaticaly batt ikijaa
inadisconnect from charging kwa kutumia inbuilt
switchng transistors ambazo zinafanya monitoring
ktk charging systm ya laptops na ikisha switch off inaruhusu derect power fro adaptor then ukichomoa adaptor inaruhusu umeme from batt hiyo automatic process ambayo wengi hatuijui kwa hiyo wala huna
haja ya sijui unplug mara sijui utoe batt huo wote ni uharibifu tumia tu kama kawaida chamno vi2 vya
kuzingatia ni kuhakikisha pale unapo fanya kazi
ngumu au nzito ambayo itafanya computer iwe
very busy comp yako iwe connected to power na
km unatizama muvies kupita cd drve au dvd drive
pia hakikisha comp ipo plaged direct to power hata kama batt ipo full ki2 kingine epuka kutumia batt
hadi inaisha kabisaaaa hadi inazima yenyewe pia
nihatari kwa maisha ya battry pia power fractuation
wakati inacharge nalo ni tatizo kwa batt, lingine
kutumia unspecified charger hasa hizi zinazo uzwa
madukan ambazo sio ariginal (maltipapasi charger) nazo ni tatizo kwa batt life coz zinatoutiana curent
na watts na out put voltage zinakuwa tofauti ivo
pia linakuwa tatizo sababu nyingine ni kutumia
comp huku cooling holes zikiwa zimezibwa mfano
kuweka kwenye mapaja au kitandan hasa kwa zile
ambazo cooling zipo chini hii kusababisha joto kali ambalo pia huathiri batt kutokana aina ya materials
au madin inayo tumika kutengeneza rechable
battries na pia hiyo hufanya processor kufanya kazi kwa nguvu ivo kudrain charge kwanguvu sana hizo ni baadhi amabzo ni muhimu zaidi.
 
Nakuunga Mkono Muheshimiwa, mimi yangu imeandikwa betry inapojaa computer hutumia umeme Directly there fore there is no need of unplug. chamsingi ukitaka kujua hilo anagalia baada ya laptop yako kujaa charge jee ukiendelea kutumia wakati bado ipo connected vip adapta yako inapoa? kama inapoa ujue ni yakuchomoa na kama bado hot ujue laptop yako inaendelea kutumia direct adapta.
 
Aaah,hivi kumbe mkuu unaweza kutumia umeme wa direct kwenye laptop hata ukichomoa battery na mashine isizingue?

not recomended na kuna baadhi ya mashine ukichomoa batt hata kuwaka haiwaki unatakiwa kujua kuwa batt pia ni moja kati na kiungo muhumu sana katika charging system so dont make it a usual play u'l risk ure charging system of ure machine
 
Back
Top Bottom