kinesthetic
Member
- Feb 19, 2020
- 11
- 6
Samahani wakuu,
Nilikuwa nauliza namna gani naweza kuwazuia Nyani wale wadogo (Ngedere), wanamaliza mahindi yangu kabla hayajaanza kukomaa, yaani wanavunja vile vinavyoanza kuweka mahindi.
Naombeni ushauri kuhusu kuwaondoa au kuwazuia wasiendelee kula.
Sent using Jamii Forums mobile app