Namna gani nitawazuia Nyani kula mahindi shambani

Nimewahi kusikia hivyo ukimdaka mmoja ukamtundika hawasogei kabisa, au washirikishe serekali kitengo cha wanyama pori, utawapata ofisi ya wilaya iliyopo karibu na ww.
 
Mdake mmoja mchune sehem ya ngozi kisha mwachie awafuate..!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii akiwahi niambia mzee wangu kuwa kuna sehemu ilitokea hivyo basi mhusika akamtega mmoja halafu akamchuna ngozi mzima mzima basi akawa anawafuata wenzake na wenzake wanamkimbia basi walihama hilo eneo, uharibifu ukaisha na hapakuwa na nyani tena kushambulia mazao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama ni shamba dogo zungushia nyavu ya nchi tatu au nne,nyavu zile za,kutegea samaki.....watakuja tu kama kawaida kisha utawanasa watatu au zaidi, hautawaona tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saga pilipili kwa wingi kisha jaza kwenye makopo hasa yale ya reds, bavaria8.6 ama grandmalt toboa vitobo vidogovidogo kwa chini kisha ning'iniza na kamba kwenye kila shina la mahindi hasa sehemu wanako pendelea kupitia.
Hapo ngedere akiupalamia mti wa mhindi lile kopo litatikisika na kumwagia pilipili machoni. Atashindwa kuona na kuanza kupuyanga tu akijibamiza huku na kule wakati huo wewe unakuwa na NGONGO/RUNGU lako ni mwendwa wa kuponda vichwa tu! hapo hata akipanda kwenye mti mlenge na manati atapanda hadi kileleni mwa mti, sasa kwakuwa atakuwa haoni ataanguka chini unatwanga rungu.

Ukibahatika kumnasa mkubwa wao usimuue mzimishe kidogo kisha mnyweshe NYAGI kumpiga nusu kaputi. Mchune ngozi ya uso na umvishe kengele kisha muache aende zake kuwatafuta wenzie ambao watamnyanyapaa na kuhama maeneo hayo.

Fanya hivyo kisha rudisha mrejesho hapa.
Ninazo mbinu nyingi sana za kuwasurubu hawa wanyama wachafuzi so i hope this one will workout.
 
hahaha we noma dadeki hao nyani lazima walie kilio cha mbwa koko

Pamoja mkuu ngoja ni apply hii njia maana wamenipa hasara mpka sasa wemetafuna karibia robo ya ekari ya mahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom