Hao wasiojulikana siwezi kuwauliziaWasiojulikana?![]()
![]()
![]()
![]()
Jr![]()
Unaweza Ila wale ni hatifunganiHao wasiojulikana siwezi kuwaulizia![]()
![]()
I mean wale jamaa zetu wanaokaa ndani ya tunguli![]()
Sent using Jamii Forums mobile app

Wasiojulikana hawatumiwi salamuUnaweza Ila wale ni hatifungani
Jr![]()
Hahahaa sawa Mshana jr najua hushindwi hata kumtuma njiwa awafikishieInategemea na salamu![]()
![]()
Jr![]()
Mada za Mshana ni ngumu kumeza..zinasisimua kwakweliThis is too heavy, it is beyond a normal human understand!
Safi kabisa huko soma Taoisim, Confucius au AnalectsMshana nipo China kwa sasa, nitaishi huku miaka mitatu, naweza kupata sehemu ya kufundishwa hayo mambo unayoyajua?
Maana huku naona karibu kila kitu ukitaka unapata.
Inaitwaje/ niulizeje nijiunge hata kwa kulipia
Elimu yako imekuongezea hekima nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app

Nami ntatoa ushuhuda wa meditation hii kitu ni kweli aisee ila sio hii ya mshana jr, hii inatishaSi kweli huu ni upotoshaji wa shetani ili watu wengi wapotee na wasiende mbinguni na wasimtumainie Mungu
Duniani kuna nguvu mbili tu ya Mungu na ya shetani yaani ya wema au ubaya
Ili kwenda mbinguni inakubidi uwe chini ya nguvu ya Mungu na hakuna yeyote anaeweza kwenda kwa Mungu bila kujitoa kikamilifu kwake na haikuhitaji kufanya chochote cha ziada ili kuwa kwake ila kila kitu kimeshaandaliwa kwa wote wanaokubali kumtii
Hayo mengine ni mbinu za shetani kuwapa watu matumaini ya uongo ili waweze kujitumainia wenyewe na mwisho wafe ktk dhambi zao na kuangamia ktk moto siku ya hukumu
Kwa mujibu wa biblia mtu anapokufa anarudi ktk hali aliyokuwa nayo ya kutojifahamu kabla hajazaliwa hadi atakapofufuliwa tena kwa ajili ya hukumu ndipo atakapopata tena fahamu na kwenda motoni au mbinguni kupo chini ya Mungu yaani siku ya hukumu tambua hakuna binadamu ama roho yoyote inayoweza isaidia roho nyingine kwenda popote pale mbinguni ama motoni hizo ni porojo za shetani
Muda wote huo niliona alivyokuwa akipambana roho isimuache. Niliingia ulimwengu wa roho kimyakimya kumsaidia uhai, mapambano. Ni kupitia huko nilimuona akielea mbali kabisa na mimi. Alikuwa mwepesi na mwenye kasi ya ajabu. Nilirudi kimwili na kumuona akijaribu kupepesa macho huku madaktari kwa juhudi kubwa wakifanya hand pumping, mashine ilikuwa imeshashindwa kazi.
Kwa mujibu wa biblia mtu anapokufa anarudi ktk hali aliyokuwa nayo ya kutojifahamu kabla hajazaliwa hadi atakapofufuliwa tena kwa ajili ya hukumu ndipo atakapopata tena fahamu
Binadamu ana utashi mnyama hana
Jr![]()
KivipiKwa kuvaa mwili wa kiroho
Jr![]()
Mungu anamrehemu MAREHEMU tu bwana mshana usitake kumzika mtu bado yupo nyuma ya key-pard/board.Kwa muktadha wa Bible takatifu uko sahihi kabisa na nakubaliana nawe kwa asilimia mia moja lakini dunia hii ni zaidi ya uijuavyo
Kuna imani nyingi kuna dini nyingi na nyingine ni za ajabu hasa.... Nakushauri jifunze tu ujue lakini si lazima uamini au u practice... Mungu akurehemu
Jr![]()