Namna bora ya kukata roho

Namna bora ya kukata roho

Si kweli huu ni upotoshaji wa shetani ili watu wengi wapotee na wasiende mbinguni na wasimtumainie Mungu

Duniani kuna nguvu mbili tu ya Mungu na ya shetani yaani ya wema au ubaya

Ili kwenda mbinguni inakubidi uwe chini ya nguvu ya Mungu na hakuna yeyote anaeweza kwenda kwa Mungu bila kujitoa kikamilifu kwake na haikuhitaji kufanya chochote cha ziada ili kuwa kwake ila kila kitu kimeshaandaliwa kwa wote wanaokubali kumtii

Hayo mengine ni mbinu za shetani kuwapa watu matumaini ya uongo ili waweze kujitumainia wenyewe na mwisho wafe ktk dhambi zao na kuangamia ktk moto siku ya hukumu

Kwa mujibu wa biblia mtu anapokufa anarudi ktk hali aliyokuwa nayo ya kutojifahamu kabla hajazaliwa hadi atakapofufuliwa tena kwa ajili ya hukumu ndipo atakapopata tena fahamu na kwenda motoni au mbinguni kupo chini ya Mungu yaani siku ya hukumu tambua hakuna binadamu ama roho yoyote inayoweza isaidia roho nyingine kwenda popote pale mbinguni ama motoni hizo ni porojo za shetani
Hapo kwenye red hujasema kweli.......kwani utakapokuwa kaburini Ufahamu wa kiroho utakuwa nao ili ujue baada ya hukumu utakuwa wa upande gani kati ya pepo au moto na hapo ndipo kilio na kusaga meno hutokea....................
 
Kwa muktadha wa Bible takatifu uko sahihi kabisa na nakubaliana nawe kwa asilimia mia moja lakini dunia hii ni zaidi ya uijuavyo
Kuna imani nyingi kuna dini nyingi na nyingine ni za ajabu hasa.... Nakushauri jifunze tu ujue lakini si lazima uamini au u practice... Mungu akurehemu

Jr
Mshana jr huyo hayupo sahihi hata kidogo hebu soma post yangu namba 83 hapo juu.......KABURI kwa maana ya kwamba mwili haupo katika Uso wa Aridhi wala katika Uwanja wa hukumu........Bila kujali umeliwa na wanyama, umeyeyuka kwenye Acid, umeungua moto, umefukiwa chini ya Aridhi nk...............Huko uliko ndiko KABURINI kwako.............
 
mshana jr kuna kisa nimekutana nacho siku chache zilizopita kuna mzee aligoma kufa ikafika hatua wakawa wanamuombea afe...yaani yuko kitandani muda mrefu..wakimpeleka hospital wanaambiwa mrudisheni tu nyumbani..

Kilichonishangaza ni kwamba eti hawa wazee wa zamani kuna vitu walikua wanameza ambavyo vinawafanya hii process unayoizungumzia hapa kuwa ngumu kwao..hii imekaaje..
Yeah mimi babu yangu mmoja alikufa wiki nzima.... Hivyo vitu ni madawa ya kienyeji ya kuwapa nguvu ni mabaya sana inapofika hatua ya kukata roho

Jr
 
Duuuuhh katika siku ambazo hujaeleweka na SIJAKUELEWA KABISA ni leo,

1. kumsaidiaje? kuifukuzia roho irudi? kuikamata? napata maswali mengi yasiyo na majibu kabisaa, HOW?
2. Kama ndi hivyo hata roho ya TAL unaweza kuiona saiv inafanyaje
yaana yanakuja maswali mengi yasiyo na majibu

Jibu hili hapa

Muhubiri 8:8
8 Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho;
Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa;
Wala hakuna kuruhusiwa katika vita vile;
Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea.

Imeandikwa wapi, tunataka maandiko matakatifu yaweze kuconfirm haya unayoyasema, je yapo upande wa madhabahu ya Mungu, au upande wa madhabahu ya shetani? Nijuavyo mtu akaribiapo kufa huwa kuna stages of death, ukiangalia Stages of Death in a psychological manner, zipo tano utaziona, lkn mtu anapokufa according to imani yangu asipopata muda wa kutubu bhas hukumu yake ataikuta mbele, lkn yule anayekuwa ktk stage mojawapo ya umauti kati ya hizo tano na anabahatika kutubu mbele za Mungu akiongozwa sala ya Toba na kiongozi anayekubalika na mwenye mapenzi ya Mungu bhaas mtu huyo ataenjoy. Hvo tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom