sawa mkuuNi ngumu kueleza hapa tafuta muda tuonane
Jr![]()
Nami ntatoa ushuhuda wa meditation hii kitu ni kweli aisee ila sio hii ya mshana jr, hii inatisha
Hapo kwenye red hujasema kweli.......kwani utakapokuwa kaburini Ufahamu wa kiroho utakuwa nao ili ujue baada ya hukumu utakuwa wa upande gani kati ya pepo au moto na hapo ndipo kilio na kusaga meno hutokea....................
Nipe nukuu toka kwenye bibliaHapo napingana na wewe Kabisa, Nioneshe hilo andiko, navyojua na kuelewa mtu akifa anakua na fahamu zake zilezile tena zinakua MORE ACTIVE kuliko alivyokua, tena anajua na kuwakumbuka aliowaacha duniani kama ni ndugu,watoto,wazazi, marafiki, mali, heshima,cheo, hadi ugonjwa uliomuua anaujua mpk matendo alokua anaishi toka alivyozaliwa hadfi alivyokufa, kwa hapo tusidanganyane
N.B kumbuka TAJIRI NA MASKINI
Hapo napingana na wewe Kabisa, Nioneshe hilo andiko, navyojua na kuelewa mtu akifa anakua na fahamu zake zilezile tena zinakua MORE ACTIVE kuliko alivyokua, tena anajua na kuwakumbuka aliowaacha duniani kama ni ndugu,watoto,wazazi, marafiki, mali, heshima,cheo, hadi ugonjwa uliomuua anaujua mpk matendo alokua anaishi toka alivyozaliwa hadfi alivyokufa, kwa hapo tusidanganyane
N.B kumbuka TAJIRI NA MASKINI
Point yako ni ipi mkuuSi kweli huu ni upotoshaji wa shetani ili watu wengi wapotee na wasiende mbinguni na wasimtumainie Mungu
Duniani kuna nguvu mbili tu ya Mungu na ya shetani yaani ya wema au ubaya
Ili kwenda mbinguni inakubidi uwe chini ya nguvu ya Mungu na hakuna yeyote anaeweza kwenda kwa Mungu bila kujitoa kikamilifu kwake na haikuhitaji kufanya chochote cha ziada ili kuwa kwake ila kila kitu kimeshaandaliwa kwa wote wanaokubali kumtii
Hayo mengine ni mbinu za shetani kuwapa watu matumaini ya uongo ili waweze kujitumainia wenyewe na mwisho wafe ktk dhambi zao na kuangamia ktk moto siku ya hukumu
Kwa mujibu wa biblia mtu anapokufa anarudi ktk hali aliyokuwa nayo ya kutojifahamu kabla hajazaliwa hadi atakapofufuliwa tena kwa ajili ya hukumu ndipo atakapopata tena fahamu na kwenda motoni au mbinguni kupo chini ya Mungu yaani siku ya hukumu tambua hakuna binadamu ama roho yoyote inayoweza isaidia roho nyingine kwenda popote pale mbinguni ama motoni hizo ni porojo za shetani
How can this be possible in real sense??Kiroho nikiuacha mwili kitini umekaa
Jr![]()
Point yako ni ipi mkuu
Kwamba mshana is wrong au wewe ndo uko sahihi?