Namna bora ya kukata roho

Namna bora ya kukata roho

Hapo kwenye red hujasema kweli.......kwani utakapokuwa kaburini Ufahamu wa kiroho utakuwa nao ili ujue baada ya hukumu utakuwa wa upande gani kati ya pepo au moto na hapo ndipo kilio na kusaga meno hutokea....................
Kaburini kinachozikwa ni mwili tu, mwili auna uhai, aupumui, auli, autambui chochote, ni kama jumba fulani lisilo na wakaaji maana tayari roho ishatoka.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ibada za mwisho kabla ya kukata roho ndio tunazozifahamu zaidi, lakini tukumbuke kuna ibada nyingi tofauti ambazo huwa msaada mkubwa kwa marehemu. Sehemu nyingi za ajali na majanga, tunapoona watu wakikata roho ni sehemu sahihi za kufanya ibada za binafsi sirini, ibada za kuingia ulimwengu wa roho kimyakimya kwenda kutoa msaada wa kuomba njia sahihi kwa wale wafao.
 
Back
Top Bottom