dhk1
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 958
- 590
Mm nimefeli kwenye stral projection. Hapa inabidi uingie rohoni ndo umuombee vzr ambayo ni astral ama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tunapoingia vyumbani mwetu na kufunga milango kisha kusali... Hapa ndio mahali unapokutana na Mungu wako aliye sirini katika uhalisia wakeMm nimefeli kwenye stral projection. Hapa inabidi uingie rohoni ndo umuombee vzr ambayo ni astral ama
Sent using Jamii Forums mobile app

Hare rama! Rama rama hare hare...!Niliingia ulimwengu wa roho kimyakimya kumsaidia uhai, mapambano. Ni kupitia huko nilimuona akielea mbali kabisa na mimi. Alikuwa mwepesi na mwenye kasi ya ajabu. Nilirudi kimwili na kumuona akijaribu kupepesa macho huku madaktari kwa juhudi kubwa wakifanya hand pumping, mashine ilikuwa imeshashindwa kazi.
sankrit mantras!!!

UsiogopeeNitasoma kesho hii nisije kuota vibaya bure, maana inaonekana inatisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu ana utashi mnyama hanaMshana naomba kuuliza kwann binadamu akizaliwa mpka afundishwe kuna baya kuna hatari hizi na hzi lakini ni tofauti kwa wanyama labda panya hata akiwa mdogo anafahamu kuna hatari
Sent using Jamii Forums mobile app

HahahaaaaNdio muda mzuri wa kutafakari usiku kucha
Jr![]()
Hayyaaa
Mkuu umeeleweka bila Chenga.....!!Kifo ni mwanzo sio mchakato. Once roho inapoachana na mwili husafiri mamilioni ya kilometers kwenye utupu wa dunia. Ni kama imetoka kifungoni na sasa iko huru. Roho ndani ya mwili uwezo wake huwa wa mipaka mno. Ni mpaka mtu afanye juhudi za kufungua jicho la tatu ndio kidogo unaweza kuona zaidi ya kuona.
Kiingereza tunasema seeing beyond. Bila kujali roho itasafiri kwenda wapi mautini ama katika uhai bado kuna muunganiko usiokoma na mwili husika, hivyo daima hurejea. Watu wale walionusurika vifo, yani wale waliofika hatua ya umahututi. Katikati ya kifo na uzima, wakizinduka hukwambia kwamba wameota ama waliona wanaenda mbali sana. Mbali kabisa angani ama chini ya dunia kusiko na mwisho ama tambarare isiyo na ukomo.
Wanaenda tu lakini hawafiki na walikuwa wanasikia sauti kwa mbali zikiwaita warudi. Kifo ni mwanzo sio mchakato. Death is the state not the process.
View attachment 584381
Kila roho ina asili. Ina makazi asili na makazi mbadala, makazi ya muda ama makazi ya kupita
Mwezi uliopita mwishoni tulipoteza kijana wetu ofisini alianguka umbali wa mita tano toka juu na akatua kwenye zege. Nilikuwa naye mpaka anakata roho. Tulifanya juhudi mbalimbali za kuokoa maisha yake. Tukamkimbiza hospital ya mkoa na baadae Muhimbili kwa ambulance
Muda wote huo niliona alivyokuwa akipambana roho isimuache. Niliingia ulimwengu wa roho kimyakimya kumsaidia uhai, mapambano. Ni kupitia huko nilimuona akielea mbali kabisa na mimi. Alikuwa mwepesi na mwenye kasi ya ajabu. Nilirudi kimwili na kumuona akijaribu kupepesa macho huku madaktari kwa juhudi kubwa wakifanya hand pumping, mashine ilikuwa imeshashindwa kazi.
Nilianza kuchant mantras za mwisho mwema. Nkachant Krishna, nikachant kuan ing pussa. Dakika kumi baadae akapumzika kwa amani. Hana mateso tena. Tunafanya makosa mengi na kushindwa kuwasidia wapendwa wetu kukata roho salama. Kumbuka hata sekunde zile za mwisho unaweza kumsaidia marehemu akawa na mwisho mwema. Kuna vita ya kiroho muda ule, kuna uvutano wa hasi na chanya, kuzimu na mbingu.
Ukiwa mtulivu unaweza kumsaidia asiende upande mbaya I mean roho yake. Sanasana ni roho kutoka na kwenda kuripoti kwenye makazi yake asilia kisha kurudi kwenye makazi yake duniani. Tunaita blissful state. Ukikosea kidogo ana hata yeye mwenyewe basi roho yake huwa ya kutangatanga bila ya kuwa na kikao maalum na kuleta shida kubwa.
Ibada za mwisho kabla ya kukata roho ndio tunazozifahamu zaidi, lakini tukumbuke kuna ibada nyingi tofauti ambazo huwa msaada mkubwa kwa marehemu. Sehemu nyingi za ajali na majanga, tunapoona watu wakikata roho ni sehemu sahihi za kufanya ibada za binafsi sirini, ibada za kuingia ulimwengu wa roho kimyakimya kwenda kutoa msaada wa kuomba njia sahihi kwa wale wafao.
Najua sijaeleweka ngoja jukwaa letu lianzishwe tutaeleweshana zaidi
Jr![]()