Namna Biashara ya 'Network Marketing' ilivyonipeleka Polisi

Cheki mwamba alivyo ji nasibu hapa
 
kuna mwanangu mwaka jana kawekeza milion 18 kwa hawa wanajiita phytoscience kwa kuahidiwa kuwa atakuwa anapokea USD 3500 kila mwezi, baada ya kuziweka story ikabadirika sijui wakaja na kigezo gani kingine.
Hana hamu nao kabisa
Chaaah hawa ndo wa biashara gani Tena[emoji2][emoji2] chaaah yaan zipo nyingii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama uzi unatuacha hoi kwa cheko....japo hatupaswi. Kuna mkwe wangu ananishawishi mno na hiyo QNET, siamini hizi biashara za mfumo huu ila nikawa naogopa kumkosea adabu. Nikaendelea kumuaminisha kuwa nitaenda...ila kwa ninayosikia hapa...acha tu niongeze juhudi yà kumkwepa...mstaafu wa watu....dash....
 
Mimi kama ni mwanaume alikua akija kunishawishi namuomba kwanza tigo yake nipige na kama ni dem aliishia kuliwa maana wale wa hizo biashara akili hawana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Weee yaan ukienda kwa hao wataalamu jinsi wanavyo elezea utaona YEEES!! hapa nmepatia maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali; ni kweli. Ila formula moja ya kujiepusha na utapeli wa aina hii ni hii: ukiona unaletewa fursa inayohitaji kazi kidogo lakini ina faida kubwa kimbia. Kwa tabia za kibinadamu, hasa kabisa sisi waafrika, mtu akipata fursa haitangazi kwa watu. Anapiga kimya kimya kabisa. Ni wachache sana wanaosema siri ya mafanikio. Sasa unaona mtu anakuletea mradi wa sungura cha kujiuliza ni kwa nini yeye asifuge wakati anajua soko lilipo?
 
Mwaka wa kimasomo 2013/2014 niliingia UDSM nikiwa na Moto wa kusoma huku nimekosa Mkopo 100% (sikupata hata baada ya ku-appeal Mara 2). Moja ya mipango yangu ilikuwa ni kufanya Mishe ya kuniingizia kipato.

Baada ya kusoma kitabu Cha Bwana Emilian Busara na Mrembo Grace kuhusu HISA, AKIBA NA UWEKEZAJI nilianza kuwekeza katika Solo la hisa la Dar es Salaam (DSE) nikitumia Pocket money yangu. Hisa za CRDB, TBL, Maendeleo Bank, na hata Swissport nilikuwa nacheza nazo Sana.

Baada ya muda kupita, Ilizuka biashara moja ambayo binafsi sikuielewa kwa Wakati huo. Ila Classmates wenzangu wachache walionekana kuvutiwa nayo Sana na kuiongelea mno. Nilipoelekezwa Mara ya kwanza sikuielewa kabisa labda kwasababu sikuwahi kuona biashara ikifanyika nanna ile.

Baadaye nilikuja kuielewa baada ya kutumiwa video presentation ya jamaa mmoja ambaye aliianza akiwa chuo Tena UD palepale na muda huo akiwa anarekodi hiyo video alikuwa anaenjoy Sana maisha. Anasafiri Sana duniani, anamiliki Discovery moja Matata, mkwanja wake kwa mwezi ni HATARI

That day niliona Kama vile MUNGU kanishushia Neema ambayo nilikuwa naihitaji muda mrefu Sana. Nilianza kufikiria namna nitakavyoboresha maisha ya familia yangu, pamoja na Mimi mwenyewe. Nilianza kuona namiliki gari kabla sijamaliza chuo, nikisafiri dunia, nikitambulika, nk

To cut the story short, baada ya muda nilijiunga kwa kusaidiwa na aliyenionyesha biashara na nikawa 'New FBO'. Baada ya ku-Hustle Sana nikaja nikapanda cheo (level) ambayo 'kwenye Makaratasi' natakiwa niwe naingiza kuanzia 500k Hadi 800k ingawa kwa ground Mambo hayakuwa hivyo.

So Wakati napanda hicho cheo nilipaswa kukamilisha points (mauzo ya bidhaa) Mimi pamoja na timu. Pale tulikuwa tunawekewa Mindset ya ku-push KWA KILA NAMNA Hadi kieleweke na kutokata tamaa. So ikabidi nianze kupiga simu kukopa hela that night. Deadline ilikuwa ni saa 6 usiku.

Baada ya muda nilimpigia jamaa ambaye Sijawahi kumuona Wala kukutana naye Ila alikuwa anafanya hiyo biashara mkoani. Tulionana kwenye group la WhatsApp la timu yetu (wote tulio chini ya Aliyetuonyesha biashara). Nikambembeleza jamaa Hadi akanipa 400k kudadeki. So nikamalizia

Hesabu zangu ni kuwa kuanzia mwezi ujao ningelipwa kuanzia 500k Hadi 800k so ningemrudishia Mwana hela yake na ningeendelea na Mishe zangu.

Hapa ndipo Mambo yalipoanzia kwenda kushoto. Mwezi uliofuatia hakuna mkwanja ulioingia KABISA. Hata Tsh 10 sikukuta.

Kufuatilia nikaambiwa kuwa Kuna tatizo lilitokea Wkt najiunga so Wakati nadhani nilikuwa eligible kupata huo mkwanja, kumbe I wasn't.
Nguvu ziliniishia hii siku. Mbaya zaidi ni kuwa huku kitaa watu wananipongeza na kuona Kama vile nimeshatoka kimaisha Wakati Mambo ni tofauti

Baada ya miezi 2 ya kumzungusha jamaa, alikuja kunifanyia Mishe moja Matata.

Kumbe jamaa alikuja Dar kimya kimya (Kutoka Mtwara anapoishi) akamtafuta dada yake (mwalimu shule Fulani Sinza) akampa namba zangu anitafute Kama vile anahitaji bidhaa ninazouza.

Baada ya kupokea simu nilifurahi na nikamuibukia kule shule bila kujua kuwa najipeleka kwenye tundu la Simba. Na hata nilipofika sikuweza kumtambua mshikaji kwasababu hatukuwahi kuonana Mimi nikadhani ni mwalimu mwenzake Kumbe jamaa ananichora tu ninavyoelezea bidhaa.

Mwishoni akaniuliza unamfahamu mtu anaitwa ___? (Jina la mwana) nikamjibu Ndiyo. Akaniuliza unamfahamu vipi? Nikamjibu pia kuwa tupo naye timu moja katika biashara Ila sikumwambia ishu za kumkopa mwana. Basi akaniambia "huyo uliyekaa naye hapo ndio huyo jamaa Mimi ni dada yake"

Hapa ndipo nilihisi miguu kuishiwa nguvu, jasho la ulimi likinitoka, na hata haja kubwa na ndogo zilianza kuja bila utaratibu waungwana. Acheni kabisa haya Mambo. Nilijiona mjinga Sana hii siku na nikajua kuwa kweli 'Za mwizi ni Arobaini'

Maswali yaliyofuata baada ya hapo sikuweza kuyajibu kiufasaha Tena. Ile confidence ya kuelezea 'ALOEVERA' ilipotea kabisa.
Mbaya zaidi kila nikiwaelezea situation ilivyokuwa hawakunielewa na mwisho wakaamua kuniitia polisi wakisema Mimi ni TAPELI . I wanted to cry that day.

Nilijaribu kupiga simu kwa viongozi wangu japo wanikope hata 200k ya kumfukuza mwana lakini wote waliniambia WAMEFULIA. Hapa ndipo nilipojua kuwa nipo Kwenye BIASHARA ISIYONIFAA. Yaani mtu anayetuambia anaingiza 3-6 Million na yeye Hana hata Senti au hawezi kunisaidia?

So mwisho nilipelekwa kituo Cha Polisi SHEKILANGO pale. Yule mwalimu (dada wa jamaa) alikuwa anafahamiana na afande mmoja. That was a first day napelekwa kituoni Tena nikiitwa TAPELI na MWIZI. it was embarrassing.

Hizi biashara Sio...

Ni Mungu tu aisee aliyefanya nitoke Polisi that day. Niliweka Bondi devices zangu pamoja na zile bidhaa zote ndipo tukaandikishiana pale mbele ya afande.Hivyo ndivyo nilivyotoka siku ile. Hela zote mfukoni walibeba bahati nzuri nilikuwa na hela ndogo kwenye soksi ndio ikawa nauli

Toka siku hiyo, sikutaka kusikia Tena ishu za ile biashara. I started to be dormant and baada ya muda niliiacha. Kuna sababu nyingine nyingi pia zilichangia Ila Leo tuijue hiyo moja tu.

Mpaka Leo sitaki kuzisikia hizo kampuni zinazoendesha hizo biashara. KABISA.

---MWISHO-

Mwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hela rahisi hivyo fanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue umenichekesha mno aisee....kuna jamaa kila siku nawaona wanavaa suruali nyeusi na shati white na tai juu wanaenda huko Qnet sasa nikawa najiuliza na Qnet ni sawa na hao forever? Basi kama ndo ivo wameliwa
Tofauti ya Forever Living na Qnet ni:
Viingilio:
Qnet-milioni tano.
Forever living-laki saba.

Bidhaa:
Qnet wanakupa saa
Forever living wanakupa vipodozi, dawa za meno n.k

NB:Wote ni matapeli wa kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikutan na jamaa mmoja ,akanieleza biashara hii inalipa unaweza kuingiza hadi mil 5 kwa mwenzi,mi nimenunua kiwanja ostabey sasa hivi nimeshapaua napaka rangi,nilimwuliza swali moja tu tukaagana kiroho safi (kama hii biashara inalipa kwanini kiatu chako kimeisha soli??

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu si wamekwambia habari za kuhusu QNET usiulize yeyote uwaulize wao, vipi ukuoneshwa watu uloambiwa wameacha kazi kujiunga na chama lao. Na vipi kuhusu magari na safari za kwenda nje. Masuti walivaa lakini na smartphone moja mfuko wa shati, nyingine kiganjani, nyingine mfuko wa suruali au wa kwako hawakuwa na mbwembwe nyingi. Na vipi walikuwa wanatumiana texts na kuomba samahani kujibu sms za kikazi na hela, simu hii ikiingia text baadae kidogo nyingine inaingia. Umeoneshwa mahoteli ambayo sijui utapewa kuponi ya kwenda uko bure sijui ni washirika wao. Umeoneshwa picha wakiwa na viongozi wakubwa na sherehe kubwa za kitaifa na kimataifa. Kama hujaoneshwa hayo ndo ungeona leo. Cha ajabu yule jamaa aliyenipeleka hadi leo anavaa suti moja ileile na viatu pair moja. Kila siku anapost motivation quotes.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu wana dharau sana ajira za watu, kuna mmoja nilimblock nafkiri nilieleza kwenye thread ingine, jamaa alikua ananitumia mapicha kapiga kwenye magari mawili na suti zao, anadai ni ya kwake,nikafanya homework yangu, turns out gari moja halina insurance kabisa, lingine ime-expire karibu miezi 8 imepita, maana yake yale magari moja litakua la showroom sababu hata halijabandikwa vibali, lingine litakua halitembei limepakiwa tu na most likely sio lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka wa kimasomo 2013/2014 niliingia UDSM nikiwa na Moto wa kusoma huku nimekosa Mkopo 100% (sikupata hata baada ya ku-appeal Mara 2). Moja ya mipango yangu ilikuwa ni kufanya Mishe ya kuniingizia kipato.

Baada ya kusoma kitabu Cha Bwana Emilian Busara na Mrembo Grace kuhusu HISA, AKIBA NA UWEKEZAJI nilianza kuwekeza katika Solo la hisa la Dar es Salaam (DSE) nikitumia Pocket money yangu. Hisa za CRDB, TBL, Maendeleo Bank, na hata Swissport nilikuwa nacheza nazo Sana.

Baada ya muda kupita, Ilizuka biashara moja ambayo binafsi sikuielewa kwa Wakati huo. Ila Classmates wenzangu wachache walionekana kuvutiwa nayo Sana na kuiongelea mno. Nilipoelekezwa Mara ya kwanza sikuielewa kabisa labda kwasababu sikuwahi kuona biashara ikifanyika nanna ile.

Baadaye nilikuja kuielewa baada ya kutumiwa video presentation ya jamaa mmoja ambaye aliianza akiwa chuo Tena UD palepale na muda huo akiwa anarekodi hiyo video alikuwa anaenjoy Sana maisha. Anasafiri Sana duniani, anamiliki Discovery moja Matata, mkwanja wake kwa mwezi ni HATARI

That day niliona Kama vile MUNGU kanishushia Neema ambayo nilikuwa naihitaji muda mrefu Sana. Nilianza kufikiria namna nitakavyoboresha maisha ya familia yangu, pamoja na Mimi mwenyewe. Nilianza kuona namiliki gari kabla sijamaliza chuo, nikisafiri dunia, nikitambulika, nk

To cut the story short, baada ya muda nilijiunga kwa kusaidiwa na aliyenionyesha biashara na nikawa 'New FBO'. Baada ya ku-Hustle Sana nikaja nikapanda cheo (level) ambayo 'kwenye Makaratasi' natakiwa niwe naingiza kuanzia 500k Hadi 800k ingawa kwa ground Mambo hayakuwa hivyo.

So Wakati napanda hicho cheo nilipaswa kukamilisha points (mauzo ya bidhaa) Mimi pamoja na timu. Pale tulikuwa tunawekewa Mindset ya ku-push KWA KILA NAMNA Hadi kieleweke na kutokata tamaa. So ikabidi nianze kupiga simu kukopa hela that night. Deadline ilikuwa ni saa 6 usiku.

Baada ya muda nilimpigia jamaa ambaye Sijawahi kumuona Wala kukutana naye Ila alikuwa anafanya hiyo biashara mkoani. Tulionana kwenye group la WhatsApp la timu yetu (wote tulio chini ya Aliyetuonyesha biashara). Nikambembeleza jamaa Hadi akanipa 400k kudadeki. So nikamalizia

Hesabu zangu ni kuwa kuanzia mwezi ujao ningelipwa kuanzia 500k Hadi 800k so ningemrudishia Mwana hela yake na ningeendelea na Mishe zangu.

Hapa ndipo Mambo yalipoanzia kwenda kushoto. Mwezi uliofuatia hakuna mkwanja ulioingia KABISA. Hata Tsh 10 sikukuta.

Kufuatilia nikaambiwa kuwa Kuna tatizo lilitokea Wkt najiunga so Wakati nadhani nilikuwa eligible kupata huo mkwanja, kumbe I wasn't.
Nguvu ziliniishia hii siku. Mbaya zaidi ni kuwa huku kitaa watu wananipongeza na kuona Kama vile nimeshatoka kimaisha Wakati Mambo ni tofauti

Baada ya miezi 2 ya kumzungusha jamaa, alikuja kunifanyia Mishe moja Matata.

Kumbe jamaa alikuja Dar kimya kimya (Kutoka Mtwara anapoishi) akamtafuta dada yake (mwalimu shule Fulani Sinza) akampa namba zangu anitafute Kama vile anahitaji bidhaa ninazouza.

Baada ya kupokea simu nilifurahi na nikamuibukia kule shule bila kujua kuwa najipeleka kwenye tundu la Simba. Na hata nilipofika sikuweza kumtambua mshikaji kwasababu hatukuwahi kuonana Mimi nikadhani ni mwalimu mwenzake Kumbe jamaa ananichora tu ninavyoelezea bidhaa.

Mwishoni akaniuliza unamfahamu mtu anaitwa ___? (Jina la mwana) nikamjibu Ndiyo. Akaniuliza unamfahamu vipi? Nikamjibu pia kuwa tupo naye timu moja katika biashara Ila sikumwambia ishu za kumkopa mwana. Basi akaniambia "huyo uliyekaa naye hapo ndio huyo jamaa Mimi ni dada yake"

Hapa ndipo nilihisi miguu kuishiwa nguvu, jasho la ulimi likinitoka, na hata haja kubwa na ndogo zilianza kuja bila utaratibu waungwana. Acheni kabisa haya Mambo. Nilijiona mjinga Sana hii siku na nikajua kuwa kweli 'Za mwizi ni Arobaini'

Maswali yaliyofuata baada ya hapo sikuweza kuyajibu kiufasaha Tena. Ile confidence ya kuelezea 'ALOEVERA' ilipotea kabisa.
Mbaya zaidi kila nikiwaelezea situation ilivyokuwa hawakunielewa na mwisho wakaamua kuniitia polisi wakisema Mimi ni TAPELI . I wanted to cry that day.

Nilijaribu kupiga simu kwa viongozi wangu japo wanikope hata 200k ya kumfukuza mwana lakini wote waliniambia WAMEFULIA. Hapa ndipo nilipojua kuwa nipo Kwenye BIASHARA ISIYONIFAA. Yaani mtu anayetuambia anaingiza 3-6 Million na yeye Hana hata Senti au hawezi kunisaidia?

So mwisho nilipelekwa kituo Cha Polisi SHEKILANGO pale. Yule mwalimu (dada wa jamaa) alikuwa anafahamiana na afande mmoja. That was a first day napelekwa kituoni Tena nikiitwa TAPELI na MWIZI. it was embarrassing.

Hizi biashara Sio...

Ni Mungu tu aisee aliyefanya nitoke Polisi that day. Niliweka Bondi devices zangu pamoja na zile bidhaa zote ndipo tukaandikishiana pale mbele ya afande.Hivyo ndivyo nilivyotoka siku ile. Hela zote mfukoni walibeba bahati nzuri nilikuwa na hela ndogo kwenye soksi ndio ikawa nauli

Toka siku hiyo, sikutaka kusikia Tena ishu za ile biashara. I started to be dormant and baada ya muda niliiacha. Kuna sababu nyingine nyingi pia zilichangia Ila Leo tuijue hiyo moja tu.

Mpaka Leo sitaki kuzisikia hizo kampuni zinazoendesha hizo biashara. KABISA.

---MWISHO-

Mwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
wenzako wanasema ukiona unaitwa kwenye fursa ww ndo fursa yenyewe
 
Daah mie najuta kweli nilishawishi jamaa zangu wa karibu mno kujiunga kipindi kile nimefikia level ya umeneja nikajua ntakuwa napokea zaidi ya 2m per month kumbe ni ujinga mwingi!! Basi nikawakurupua ndugu wa karibu kabisa na mmoja aliuza hadi shamba la familia (Huyu kanisamehe juzi tu ila tulikaa miaka bila kusalimiana) na wengine wakauza mifugo yao ili tu nitimize idadi na niliambulia 20k tu mpk leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana mkuu maana si mchezo kupeleka ndugu zako kwnye ligi za mbuzi
 
Back
Top Bottom