Namna Biashara ya 'Network Marketing' ilivyonipeleka Polisi

Namna Biashara ya 'Network Marketing' ilivyonipeleka Polisi

Pole.... Sana
Kitambo Sana watu design hiyo nlikutana nao
Na walijaribu kunishawishi, lkn ollah maana hapa walikutana na chuma cha reli

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wale hawana tofauti ya kimsingi. QNET, Forever Living, Global alliance nk ni mfumo ule ule.
Ni mtindo wa kufanywa fursa kwa kukuzuga kuwa wanakupa fursa ya kutajirika chap chap.
Asante JF leo nilikuwa ndio nategemea kujiunga rasmi na QNET, ila kupitia huu ushauri, fedha yangu naenda kula na watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante JF leo nilikuwa ndio nategemea kujiunga rasmi na QNET, ila kupitia huu ushauri, fedha yangu naenda kula na watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee, ujue kuna Rafiki Yangu anafanya huko, huwa tukikutana namuonea huruma maaaana amepungua had sielewi na nilikuwa sijui anafanya Kazi gani kuna ofisi iko kwenye gorofa liko kule makumbusho huwa anaenda anachukua bidhaaa anasambasa nilikuwa sijui ni bidhaa za Nani Leo ndio nimegundua kumbeeeeee

Basi hao watu wanaumiza vijana Sana maaana huyo Rafiki Yangu huwa najiuliza mbona kila kukicha ana konda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Qnet ya pale karibu na Palestina? sinza
Billionaireeeea kauli Moto yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdada mwingine alikuwa anapiga kazi bureau de change akakutana na watu wa Qnet wakamdannganya kaacha kazi akachukua pesa aliyo nayo na nyingine akakopa akaiweka huko. We maisha yakamchanjia na anadaiwa hadi kakimbia jiji
 
Life haina shortcut. Ukitaka kutoboa lazima ufanye kazi kwa bidi.i hamna mbadala wa hilo. Kuna bahati inaweza kukutokea ukapata mtaji na kuutunza inatakiwa ufanye kazi kwa bidi.i sana. Vijana hamna ubabaishaji kwenye kuwa Tajiri ni kujibidiisha tu

Matajiri wanalala muda mchache sana hawana muda wa kulala kizembe. Sasa wewe kachorewe yale ma-graph ya QNET udanganye kila graph ni USD 200 wakati anayekwambia hata kukununulia maji wakati anakuelewesha haweza. STUPID
 
Niliunganishwa Forever Living na dada angu mapema kabisa nilipokuwa nimehitimu six, kipindi hiko sina jambo nikaona wacha nijikip bize huko, nilikuwa sikos vi elf 10 vya vocha na sister alikuwa hakosi bonus za laki mbili tatu, mimi ni mdadisi sana hasa katika masuala ya kufanikiwa.

Ukweli Usiosemwa.

Ili ufanikiwe katika biashara hizi za Mtandao, inakutaka uwe ni muongeaji mzuri, uwe mtu mwenye marafiki wengi au mtu wa kujichanganya sana. Pia wengi wanaoshawishiwa kujiunga wanajiunga kwa masimulizi tu ya juu juu, ile kazi ni Ngumu isikieni tu vile.
Matumaini mtu anayopewa na Matarajio makubwa mtu anayoweka kwa anavyoambiwa mara zote huwa ni tofauti. Mara zote huwa nalinganisha wanaojiunga na hizi biz sawa na Wanawake wanavyokuwaga na Matarajio Makubwa kwa Mwanaume anayemtaka ikiwa hajui Anaemstahili ni yupi. Forever nimebaki kutumia bidhaa zao tu na ni nzuri sana kiukweli ingawa ni ghali sana.
 
Pole.... Sana
Kitambo Sana watu design hiyo nlikutana nao
Na walijaribu kunishawishi, lkn ollah maana hapa walikutana na chuma cha reli

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wajinga kukwambia habari hizo. Wewe si ndo babalao wao watoto tu. Sema ungeenda kule ungekuwa kiongozi mwandamizi na ungesumbua sana.
 
Asante JF leo nilikuwa ndio nategemea kujiunga rasmi na QNET, ila kupitia huu ushauri, fedha yangu naenda kula na watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si wamekwambia habari za kuhusu QNET usiulize yeyote uwaulize wao, vipi ukuoneshwa watu uloambiwa wameacha kazi kujiunga na chama lao. Na vipi kuhusu magari na safari za kwenda nje. Masuti walivaa lakini na smartphone moja mfuko wa shati, nyingine kiganjani, nyingine mfuko wa suruali au wa kwako hawakuwa na mbwembwe nyingi. Na vipi walikuwa wanatumiana texts na kuomba samahani kujibu sms za kikazi na hela, simu hii ikiingia text baadae kidogo nyingine inaingia. Umeoneshwa mahoteli ambayo sijui utapewa kuponi ya kwenda uko bure sijui ni washirika wao. Umeoneshwa picha wakiwa na viongozi wakubwa na sherehe kubwa za kitaifa na kimataifa. Kama hujaoneshwa hayo ndo ungeona leo. Cha ajabu yule jamaa aliyenipeleka hadi leo anavaa suti moja ileile na viatu pair moja. Kila siku anapost motivation quotes.
 
Kuna Mwalimu wangu hadi alifukuzwa kazi kisa GNLD 2002!

Stress sana!
 
Mimi November hapa niliitwa Mbezi kwa Msuguri jamaa wamekodi nyumba mpya haijawekwa furniture. Wana meza za plastic kibao. Chalii niliyeitwa nae alikuwa mshamba wa uko mavijijini tu nikajua ataniheshimu na hana uwezo wa kufanya mishe za kijanja na kitapeli, mtu wa dini. Nilivoenda kusikia QNET nikacheka moyoni maana nishaisoma sana hapa JF. Nikawa nawachora wanavirudia yaleyale yaliyosemwa humu. Wao wakadai;
QNET inadhamini Man City, wakanionesha video za matangazo na picha.
Mwaka 2022 wanaenda Qatar kucheki kombe la dunia
Yule jamaa yangu atanunua Nissan Touareg ndani ya miaka mitatu.
Ukiwacheki wanavaa suti za pale Karume na suruali za vitambaa na viatu vya kubrush. Wana iPhone 7 zinazunguka wote wanajua password zake, akitoka kumpiga sound huyu anazirudisha mwingine anazichukua kumpiga sound mwingine.
Haaa eti suti za pale karume za buku 4 jero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Jamaa ni wapuuzi tu , huwezi kumlazimisha mtu kuingia kwenye biashara
Shida unajua inakuja wapi yeye ameshakupigia hesabu kuwa atapata hela kupitia wewe. Hivyo kazi aliyo nayo ni kukushawishi hadi ujae kwenye boksi, na ukirudi nyuma yeye ameingizwa kingi na mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom