Namna Biashara ya 'Network Marketing' ilivyonipeleka Polisi

kuna mwanangu mwaka jana kawekeza milion 18 kwa hawa wanajiita phytoscience kwa kuahidiwa kuwa atakuwa anapokea USD 3500 kila mwezi, baada ya kuziweka story ikabadirika sijui wakaja na kigezo gani kingine.
Hana hamu nao kabisa
 
Hawa jamaa hata kesi huwezi fungua,right??
 
Aisee sidhani maana kazipeleka mwenyewe yani tena aliyemshawishi na rafiki yetu mwingine ambaye miaka kadhaa nyuma alikuwa analima matikikiti akaja kajiunga nao mapema wakat wanaingia sasa hvii anasukuma ford ranger anakula maisha. Ila sishangai ndivyo pyramid scheme inafanya kazi wanaojiunga mapema wanakulaga wanaokuja chini ndiyo wanaliwa.
 
Mwaka wa kimasomo 2013/2014 niliingia UDSM nikiwa na Moto wa kusoma huku nimekosa Mkopo 100% (sikupata hata baada ya ku-appeal Mara 2). Moja ya mipango yangu ilikuwa ni kufanya Mishe ya kuniingizia kipato.

Baada ya kusoma kitabu Cha Bwana Emilian Busara na Mrembo Grace kuhusu HISA, AKIBA NA UWEKEZAJI nilianza kuwekeza katika Solo la hisa la Dar es Salaam (DSE) nikitumia Pocket money yangu. Hisa za CRDB, TBL, Maendeleo Bank, na hata Swissport nilikuwa nacheza nazo Sana.

Baada ya muda kupita, Ilizuka biashara moja ambayo binafsi sikuielewa kwa Wakati huo. Ila Classmates wenzangu wachache walionekana kuvutiwa nayo Sana na kuiongelea mno. Nilipoelekezwa Mara ya kwanza sikuielewa kabisa labda kwasababu sikuwahi kuona biashara ikifanyika nanna ile.

Baadaye nilikuja kuielewa baada ya kutumiwa video presentation ya jamaa mmoja ambaye aliianza akiwa chuo Tena UD palepale na muda huo akiwa anarekodi hiyo video alikuwa anaenjoy Sana maisha. Anasafiri Sana duniani, anamiliki Discovery moja Matata, mkwanja wake kwa mwezi ni HATARI

That day niliona Kama vile MUNGU kanishushia Neema ambayo nilikuwa naihitaji muda mrefu Sana. Nilianza kufikiria namna nitakavyoboresha maisha ya familia yangu, pamoja na Mimi mwenyewe. Nilianza kuona namiliki gari kabla sijamaliza chuo, nikisafiri dunia, nikitambulika, nk

To cut the story short, baada ya muda nilijiunga kwa kusaidiwa na aliyenionyesha biashara na nikawa 'New FBO'. Baada ya ku-Hustle Sana nikaja nikapanda cheo (level) ambayo 'kwenye Makaratasi' natakiwa niwe naingiza kuanzia 500k Hadi 800k ingawa kwa ground Mambo hayakuwa hivyo.

So Wakati napanda hicho cheo nilipaswa kukamilisha points (mauzo ya bidhaa) Mimi pamoja na timu. Pale tulikuwa tunawekewa Mindset ya ku-push KWA KILA NAMNA Hadi kieleweke na kutokata tamaa. So ikabidi nianze kupiga simu kukopa hela that night. Deadline ilikuwa ni saa 6 usiku.

Baada ya muda nilimpigia jamaa ambaye Sijawahi kumuona Wala kukutana naye Ila alikuwa anafanya hiyo biashara mkoani. Tulionana kwenye group la WhatsApp la timu yetu (wote tulio chini ya Aliyetuonyesha biashara). Nikambembeleza jamaa Hadi akanipa 400k kudadeki. So nikamalizia

Hesabu zangu ni kuwa kuanzia mwezi ujao ningelipwa kuanzia 500k Hadi 800k so ningemrudishia Mwana hela yake na ningeendelea na Mishe zangu.

Hapa ndipo Mambo yalipoanzia kwenda kushoto. Mwezi uliofuatia hakuna mkwanja ulioingia KABISA. Hata Tsh 10 sikukuta.

Kufuatilia nikaambiwa kuwa Kuna tatizo lilitokea Wkt najiunga so Wakati nadhani nilikuwa eligible kupata huo mkwanja, kumbe I wasn't.
Nguvu ziliniishia hii siku. Mbaya zaidi ni kuwa huku kitaa watu wananipongeza na kuona Kama vile nimeshatoka kimaisha Wakati Mambo ni tofauti

Baada ya miezi 2 ya kumzungusha jamaa, alikuja kunifanyia Mishe moja Matata.

Kumbe jamaa alikuja Dar kimya kimya (Kutoka Mtwara anapoishi) akamtafuta dada yake (mwalimu shule Fulani Sinza) akampa namba zangu anitafute Kama vile anahitaji bidhaa ninazouza.

Baada ya kupokea simu nilifurahi na nikamuibukia kule shule bila kujua kuwa najipeleka kwenye tundu la Simba. Na hata nilipofika sikuweza kumtambua mshikaji kwasababu hatukuwahi kuonana Mimi nikadhani ni mwalimu mwenzake Kumbe jamaa ananichora tu ninavyoelezea bidhaa.

Mwishoni akaniuliza unamfahamu mtu anaitwa ___? (Jina la mwana) nikamjibu Ndiyo. Akaniuliza unamfahamu vipi? Nikamjibu pia kuwa tupo naye timu moja katika biashara Ila sikumwambia ishu za kumkopa mwana. Basi akaniambia "huyo uliyekaa naye hapo ndio huyo jamaa Mimi ni dada yake"

Hapa ndipo nilihisi miguu kuishiwa nguvu, jasho la ulimi likinitoka, na hata haja kubwa na ndogo zilianza kuja bila utaratibu waungwana. Acheni kabisa haya Mambo. Nilijiona mjinga Sana hii siku na nikajua kuwa kweli 'Za mwizi ni Arobaini'

Maswali yaliyofuata baada ya hapo sikuweza kuyajibu kiufasaha Tena. Ile confidence ya kuelezea 'ALOEVERA' ilipotea kabisa.
Mbaya zaidi kila nikiwaelezea situation ilivyokuwa hawakunielewa na mwisho wakaamua kuniitia polisi wakisema Mimi ni TAPELI . I wanted to cry that day.

Nilijaribu kupiga simu kwa viongozi wangu japo wanikope hata 200k ya kumfukuza mwana lakini wote waliniambia WAMEFULIA. Hapa ndipo nilipojua kuwa nipo Kwenye BIASHARA ISIYONIFAA. Yaani mtu anayetuambia anaingiza 3-6 Million na yeye Hana hata Senti au hawezi kunisaidia?

So mwisho nilipelekwa kituo Cha Polisi SHEKILANGO pale. Yule mwalimu (dada wa jamaa) alikuwa anafahamiana na afande mmoja. That was a first day napelekwa kituoni Tena nikiitwa TAPELI na MWIZI. it was embarrassing.

Hizi biashara Sio...

Ni Mungu tu aisee aliyefanya nitoke Polisi that day. Niliweka Bondi devices zangu pamoja na zile bidhaa zote ndipo tukaandikishiana pale mbele ya afande.Hivyo ndivyo nilivyotoka siku ile. Hela zote mfukoni walibeba bahati nzuri nilikuwa na hela ndogo kwenye soksi ndio ikawa nauli

Toka siku hiyo, sikutaka kusikia Tena ishu za ile biashara. I started to be dormant and baada ya muda niliiacha. Kuna sababu nyingine nyingi pia zilichangia Ila Leo tuijue hiyo moja tu.

Mpaka Leo sitaki kuzisikia hizo kampuni zinazoendesha hizo biashara. KABISA.

---MWISHO-

Mwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah pole mkuu
 
#PAMBANA NA HALIYAKOOOO
MWANAUME ATAKULA KW AJASHO LAKE
USINIULIZE.KUHUSU MWANAMKE
HAYO N MAANDIKO
 
kipindi iko nime toka kumaliza Advance siku chaguliwa kwenda jeshi nipo tu nasubiri tokeo mara paaarp sim hyo una itwa mahali ni muhimu saaaaana nikasema lini nije nkaambiwa njoo siku inayo fuata saa3 poa

Kesho asbh saa12 nsha damka mapemaa saa1 na nusu nipo maeneo ya mwenge ofisi zilikua itv pale jamaa wakiitwa GNLD ama Dyinamite international eeeh nikasema yes apa bonge la fursaaa

mzee nime tia team naona movements kibao mara nakutana na mwenyeji wang ana anza nipa intro kuhusu wao na nn wana kifanya mara naanza kuoneshwa una muona uyo mwenye suti uyo katoka Dubai juzi kweny semina anapokea mshahara Mili8 mara tuna ugeni kutoka ulaya this week na blah blah nyingne kibaaao

akili ika anza kusense something foolishy is on the way
mara naambiw ili ujiunge na sis kuna kias una takiwa utoe kama kianzio kisha kuna bidhaa utakua nazo ukiziuza na kushawishi wengne utapandishwa daraja aaargh nikaona huu ni us3eee**

Nika ona hapa sio mahala pake m najua nime itiwa ishu za pesa kumbe mambo ya kuepeana bidhaaa na kuanza kuambia watu wajiunge na mm nilivo kua sio mtu wa kujichanganya nika amua kusepa toka iyo siku uki niletea habari za biashara fulani sijui njoo kwenye semina apo ujue umepoteza rafiki maana nnachukia kitu ina itwa Network Marketing...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao dawa yao ndogo sana, huwa nafanya hivi akija mmoja kupiga ngonjera za kujiunga huko lazima atakuganda kama ruba, kila muda ni simu na sms zisizoisha, huwa nawachimba vizuri nijue kiwango ninachotakiwa ili kujiunga mfano inaweza kuwa laki 5 au 7 au milioni kabisa.

Kwakua amenihakikishia utajiri na kanipa matumaini ya kutoboa huwa nawaambia wanikopeshe hicho kianzio, nikivuna nawarejeshea. Hutosikia tena kelele zao na kukusumbua ataacha.

We fanya kulazimisha akukope atatoka nduki nakwambia.

Hiyo ndio mbinu rasmi iliyothibitishwa kufukuza hizi headless zombies.[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]eti akukopeshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mie najuta kweli nilishawishi jamaa zangu wa karibu mno kujiunga kipindi kile nimefikia level ya umeneja nikajua ntakuwa napokea zaidi ya 2m per month kumbe ni ujinga mwingi!! Basi nikawakurupua ndugu wa karibu kabisa na mmoja aliuza hadi shamba la familia (Huyu kanisamehe juzi tu ila tulikaa miaka bila kusalimiana) na wengine wakauza mifugo yao ili tu nitimize idadi na niliambulia 20k tu mpk leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee una hatari sana katika maisha
 
Hahaa, pale makumbusho nishawahi kupelekwa pia kwenye hizo semina dah, nilisikilizaa ila aargh nikagoma kujoin nao dawa ya meno ya aloevera unaambiwa ukauze 25,000/= kwelii wakati mtaani dawa buku 3 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale majamaa huwa wanawapeleka watu ulimwengu usio halisi kabisa. Watu wa aina hii wamefanya niwe makini saana na watu wanaoongea sana. Maneno yao ndo mtaji wao. Eti dawa ya meno 25k, unamuuzia nani, nani atanunua?
 
Mwaka wa kimasomo 2013/2014 niliingia UDSM nikiwa na Moto wa kusoma huku nimekosa Mkopo 100% (sikupata hata baada ya ku-appeal Mara 2). Moja ya mipango yangu ilikuwa ni kufanya Mishe ya kuniingizia kipato.

Baada ya kusoma kitabu Cha Bwana Emilian Busara na Mrembo Grace kuhusu HISA, AKIBA NA UWEKEZAJI nilianza kuwekeza katika Solo la hisa la Dar es Salaam (DSE) nikitumia Pocket money yangu. Hisa za CRDB, TBL, Maendeleo Bank, na hata Swissport nilikuwa nacheza nazo Sana.

Baada ya muda kupita, Ilizuka biashara moja ambayo binafsi sikuielewa kwa Wakati huo. Ila Classmates wenzangu wachache walionekana kuvutiwa nayo Sana na kuiongelea mno. Nilipoelekezwa Mara ya kwanza sikuielewa kabisa labda kwasababu sikuwahi kuona biashara ikifanyika nanna ile.

Baadaye nilikuja kuielewa baada ya kutumiwa video presentation ya jamaa mmoja ambaye aliianza akiwa chuo Tena UD palepale na muda huo akiwa anarekodi hiyo video alikuwa anaenjoy Sana maisha. Anasafiri Sana duniani, anamiliki Discovery moja Matata, mkwanja wake kwa mwezi ni HATARI

That day niliona Kama vile MUNGU kanishushia Neema ambayo nilikuwa naihitaji muda mrefu Sana. Nilianza kufikiria namna nitakavyoboresha maisha ya familia yangu, pamoja na Mimi mwenyewe. Nilianza kuona namiliki gari kabla sijamaliza chuo, nikisafiri dunia, nikitambulika, nk

To cut the story short, baada ya muda nilijiunga kwa kusaidiwa na aliyenionyesha biashara na nikawa 'New FBO'. Baada ya ku-Hustle Sana nikaja nikapanda cheo (level) ambayo 'kwenye Makaratasi' natakiwa niwe naingiza kuanzia 500k Hadi 800k ingawa kwa ground Mambo hayakuwa hivyo.

So Wakati napanda hicho cheo nilipaswa kukamilisha points (mauzo ya bidhaa) Mimi pamoja na timu. Pale tulikuwa tunawekewa Mindset ya ku-push KWA KILA NAMNA Hadi kieleweke na kutokata tamaa. So ikabidi nianze kupiga simu kukopa hela that night. Deadline ilikuwa ni saa 6 usiku.

Baada ya muda nilimpigia jamaa ambaye Sijawahi kumuona Wala kukutana naye Ila alikuwa anafanya hiyo biashara mkoani. Tulionana kwenye group la WhatsApp la timu yetu (wote tulio chini ya Aliyetuonyesha biashara). Nikambembeleza jamaa Hadi akanipa 400k kudadeki. So nikamalizia

Hesabu zangu ni kuwa kuanzia mwezi ujao ningelipwa kuanzia 500k Hadi 800k so ningemrudishia Mwana hela yake na ningeendelea na Mishe zangu.

Hapa ndipo Mambo yalipoanzia kwenda kushoto. Mwezi uliofuatia hakuna mkwanja ulioingia KABISA. Hata Tsh 10 sikukuta.

Kufuatilia nikaambiwa kuwa Kuna tatizo lilitokea Wkt najiunga so Wakati nadhani nilikuwa eligible kupata huo mkwanja, kumbe I wasn't.
Nguvu ziliniishia hii siku. Mbaya zaidi ni kuwa huku kitaa watu wananipongeza na kuona Kama vile nimeshatoka kimaisha Wakati Mambo ni tofauti

Baada ya miezi 2 ya kumzungusha jamaa, alikuja kunifanyia Mishe moja Matata.

Kumbe jamaa alikuja Dar kimya kimya (Kutoka Mtwara anapoishi) akamtafuta dada yake (mwalimu shule Fulani Sinza) akampa namba zangu anitafute Kama vile anahitaji bidhaa ninazouza.

Baada ya kupokea simu nilifurahi na nikamuibukia kule shule bila kujua kuwa najipeleka kwenye tundu la Simba. Na hata nilipofika sikuweza kumtambua mshikaji kwasababu hatukuwahi kuonana Mimi nikadhani ni mwalimu mwenzake Kumbe jamaa ananichora tu ninavyoelezea bidhaa.

Mwishoni akaniuliza unamfahamu mtu anaitwa ___? (Jina la mwana) nikamjibu Ndiyo. Akaniuliza unamfahamu vipi? Nikamjibu pia kuwa tupo naye timu moja katika biashara Ila sikumwambia ishu za kumkopa mwana. Basi akaniambia "huyo uliyekaa naye hapo ndio huyo jamaa Mimi ni dada yake"

Hapa ndipo nilihisi miguu kuishiwa nguvu, jasho la ulimi likinitoka, na hata haja kubwa na ndogo zilianza kuja bila utaratibu waungwana. Acheni kabisa haya Mambo. Nilijiona mjinga Sana hii siku na nikajua kuwa kweli 'Za mwizi ni Arobaini'

Maswali yaliyofuata baada ya hapo sikuweza kuyajibu kiufasaha Tena. Ile confidence ya kuelezea 'ALOEVERA' ilipotea kabisa.
Mbaya zaidi kila nikiwaelezea situation ilivyokuwa hawakunielewa na mwisho wakaamua kuniitia polisi wakisema Mimi ni TAPELI . I wanted to cry that day.

Nilijaribu kupiga simu kwa viongozi wangu japo wanikope hata 200k ya kumfukuza mwana lakini wote waliniambia WAMEFULIA. Hapa ndipo nilipojua kuwa nipo Kwenye BIASHARA ISIYONIFAA. Yaani mtu anayetuambia anaingiza 3-6 Million na yeye Hana hata Senti au hawezi kunisaidia?

So mwisho nilipelekwa kituo Cha Polisi SHEKILANGO pale. Yule mwalimu (dada wa jamaa) alikuwa anafahamiana na afande mmoja. That was a first day napelekwa kituoni Tena nikiitwa TAPELI na MWIZI. it was embarrassing.

Hizi biashara Sio...

Ni Mungu tu aisee aliyefanya nitoke Polisi that day. Niliweka Bondi devices zangu pamoja na zile bidhaa zote ndipo tukaandikishiana pale mbele ya afande.Hivyo ndivyo nilivyotoka siku ile. Hela zote mfukoni walibeba bahati nzuri nilikuwa na hela ndogo kwenye soksi ndio ikawa nauli

Toka siku hiyo, sikutaka kusikia Tena ishu za ile biashara. I started to be dormant and baada ya muda niliiacha. Kuna sababu nyingine nyingi pia zilichangia Ila Leo tuijue hiyo moja tu.

Mpaka Leo sitaki kuzisikia hizo kampuni zinazoendesha hizo biashara. KABISA.

---MWISHO-

Mwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu kuna manzi mmoja juzi kapigwa million 2 na Bitcoin sa hivi analia tu 😂
 
Kuna mshikaji wangu kajiunga anaona keshatoboa....Hawa jamaa mbinu yao kuu ni KUMUAMINISHA MWANACHAMA MPYA KUWA AMEPATA BONGE LA FURSA... kwahiyo hata umwambie nini hawezi kuelewa mpaka pale motisha feki inapoisha ndo anazinduka na kuona uhalisia too late keshapigwa.

Ungeendelea na emilian busara ungekuwa mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue umenichekesha mno aisee....kuna jamaa kila siku nawaona wanavaa suruali nyeusi na shati white na tai juu wanaenda huko Qnet sasa nikawa najiuliza na Qnet ni sawa na hao forever? Basi kama ndo ivo wameliwa
Mimi November hapa niliitwa Mbezi kwa Msuguri jamaa wamekodi nyumba mpya haijawekwa furniture. Wana meza za plastic kibao. Chalii niliyeitwa nae alikuwa mshamba wa uko mavijijini tu nikajua ataniheshimu na hana uwezo wa kufanya mishe za kijanja na kitapeli, mtu wa dini. Nilivoenda kusikia QNET nikacheka moyoni maana nishaisoma sana hapa JF. Nikawa nawachora wanavirudia yaleyale yaliyosemwa humu. Wao wakadai;
QNET inadhamini Man City, wakanionesha video za matangazo na picha.
Mwaka 2022 wanaenda Qatar kucheki kombe la dunia
Yule jamaa yangu atanunua Nissan Touareg ndani ya miaka mitatu.
Ukiwacheki wanavaa suti za pale Karume na suruali za vitambaa na viatu vya kubrush. Wana iPhone 7 zinazunguka wote wanajua password zake, akitoka kumpiga sound huyu anazirudisha mwingine anazichukua kumpiga sound mwingine.
 
Back
Top Bottom