Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,517
- 125,796
Kuna jamaa yangu flani alinifuata November aisee kuhusu QNET nkamwambia mwanangu una uhakika?? Akajizonga pale nkamwambia wewe endelea lakini hela sikumkopesha.
Kuna jamaa yangu flani alinifuata November aisee kuhusu QNET nkamwambia mwanangu una uhakika?? Akajizonga pale nkamwambia wewe endelea lakini hela sikumkopesha.
Sijamsikiliza anaendeleaje na mafao yake
Du we jamaa,you made ma day
Duh mkuu,you made ma day c kwa mbinu hiyoHao dawa yao ndogo sana, huwa nafanya hivi akija mmoja kupiga ngonjera za kujiunga huko lazima atakuganda kama ruba, kila muda ni simu na sms zisizoisha, huwa nawachimba vizuri nijue kiwango ninachotakiwa ili kujiunga mfano inaweza kuwa laki 5 au 7 au milioni kabisa.
Kwakua amenihakikishia utajiri na kanipa matumaini ya kutoboa huwa nawaambia wanikopeshe hicho kianzio, nikivuna nawarejeshea. Hutosikia tena kelele zao na kukusumbua ataacha.
We fanya kulazimisha akukope atatoka nduki nakwambia.
Hiyo ndio mbinu rasmi iliyothibitishwa kufukuza hizi headless zombies.😂😂
Qnet ukiingia kwenye majumba yao, utaskia "Goodmorning" hata kama ni usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nimekoswa koswa na Forever living, Alliance na Qnet, too bad jamaa nilipo wachomolea hawa ongei na Mimi tena.
SangaweJr
Mbona kuna nyuzi kibao tu humu zimeelezea kuhusu Qnet, how come bado kuna watu wanataka kujiunga?Asante JF leo nilikuwa ndio nategemea kujiunga rasmi na QNET, ila kupitia huu ushauri, fedha yangu naenda kula na watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wao wamewanufaisha watu sasa ameshakupigia mahesabu wewe ndie mkombozi wake ma wewe ukimchomolea tu ndio kazi huanzia hapo.Yamenikuta na mm haya ya kunyamaziwa
😂😂😂😂Nilikutan na jamaa mmoja ,akanieleza biashara hii inalipa unaweza kuingiza hadi mil 5 kwa mwenzi,mi nimenunua kiwanja ostabey sasa hivi nimeshapaua napaka rangi,nilimwuliza swali moja tu tukaagana kiroho safi (kama hii biashara inalipa kwanini kiatu chako kimeisha soli??
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilikutan na jamaa mmoja ,akanieleza biashara hii inalipa unaweza kuingiza hadi mil 5 kwa mwenzi,mi nimenunua kiwanja ostabey sasa hivi nimeshapaua napaka rangi,nilimwuliza swali moja tu tukaagana kiroho safi (kama hii biashara inalipa kwanini kiatu chako kimeisha soli??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]..Huu uzi unavunja mbavu aiseeNilikutan na jamaa mmoja ,akanieleza biashara hii inalipa unaweza kuingiza hadi mil 5 kwa mwenzi,mi nimenunua kiwanja ostabey sasa hivi nimeshapaua napaka rangi,nilimwuliza swali moja tu tukaagana kiroho safi (kama hii biashara inalipa kwanini kiatu chako kimeisha soli??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]..Huu uzi unavunja mbavu aisee
Lwa hiyo mkuu cheo ulipanda ila posho haikuonekana popote. Dah