Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,246
- 2,261
Kuna wapumbavu walikujaga na ngonjera za kuniunganisha.
Ikabidi niwakalishe kitako. Nikawahoji weee wakaishia kujingatangata tu.
Nikaona walewale .nikawaambia nawapa mda wa mwaka mkisha kuja na hati za viwanja na magari yenu.
Mtarudi tena kunishawishi
Mwingine kaolewa sasa ni golkipa home analea watoto.
Mwingine yupo uarabuni anafanya kazi za ndani..
Mi nipo tu na mishe zangu