Namna Biashara ya 'Network Marketing' ilivyonipeleka Polisi

Namna Biashara ya 'Network Marketing' ilivyonipeleka Polisi

Mkuu mimi niko chuo na mkopo sina. Nikikosa hela nakopa mpaka nakela. Sahivi nadaiwa hela na watu wanne tofauti na wote wanarudishiwa jumamosi. Hata mood ya kusoma sina kabisa. Subiri nipate likizo hizi wiki ntafanya kazi mbwa wa mwindaji hawezi jaribu kunifikia. Two weeks later ntakuwa mtaani najikataa.
 
Wajinga= Watu wasiojua jambo.
Sasa sijui nitumie neno lipi lingine kuwaeleza watu ambao PASIPO KUJUA wanajikuta wameingia kichwa kichwa kwenye hizo Pyramid scheme business na mwisho wa siku wanakuja kujuta baada ya kulizwa?
vijana tunapend kutajirika kwa KITONGA Sana lkni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishasikia unaitiwa mahali fursa au kuna deal la kufanya biashara ya kutajirijika haraka haraka basi hapo wala usijiulize mara mbili mbili, kaa ukijua kuna kupigwa vibaya.
 
pole sana kiongozi kwenye harakati za kutafuta maisha unaweza ukajikuta kwenye Kona ambazo sizo....

ndugu yangu aliingizwa mkenge kwenye zile issue za sungura
Bado anayo madumu ya mkojo wa Sungura?
 
Hao jamaa wajanja sana.
Huwa wanajipanga kwa gear zote kabla ya kumwendea mtu wa kumshawishi ajiunge. Ni utapeli fulani uliofunikwa na kuhalalishwa katika kichaka cha biashara ya mtandao.
 
Daah mie najuta kweli nilishawishi jamaa zangu wa karibu mno kujiunga kipindi kile nimefikia level ya umeneja nikajua ntakuwa napokea zaidi ya 2m per month kumbe ni ujinga mwingi!! Basi nikawakurupua ndugu wa karibu kabisa na mmoja aliuza hadi shamba la familia (Huyu kanisamehe juzi tu ila tulikaa miaka bila kusalimiana) na wengine wakauza mifugo yao ili tu nitimize idadi na niliambulia 20k tu mpk leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole sana, ila umenichekesha sana

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao dawa yao ndogo sana, huwa nafanya hivi akija mmoja kupiga ngonjera za kujiunga huko lazima atakuganda kama ruba, kila muda ni simu na sms zisizoisha, huwa nawachimba vizuri nijue kiwango ninachotakiwa ili kujiunga mfano inaweza kuwa laki 5 au 7 au milioni kabisa.

Kwakua amenihakikishia utajiri na kanipa matumaini ya kutoboa huwa nawaambia wanikopeshe hicho kianzio, nikivuna nawarejeshea. Hutosikia tena kelele zao na kukusumbua ataacha.

We fanya kulazimisha akukope atatoka nduki nakwambia.

Hiyo ndio mbinu rasmi iliyothibitishwa kufukuza hizi headless zombies.😂😂
 
Back
Top Bottom