Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Pole mwaya.
Hakuna kitu kibaya kama upweke na hasa unapom miss yule ambae huwezi kum replace.
Pole!

nafkiri wewe unaelewa ninapopita kwa sasa.
asante sana
 
Ticha gfsonwin yakikushinda saaaaaana mwenzangu kwa nn usijitose tu uende aliko japo siku2 ukate kiu zao zoote then urudi ukiwa kwenye stress free zone

Ila kwa leo tupa mawazo kulee n remember its women's day tafuta chochote chenye rangi ya bendera yetu tupia and have a big smile on ure face huku unaproud 4 bn a super women for ur hubbyG
 
Last edited by a moderator:
Hakika inapendeza kuona maneno yenye shuhuda nzuri na ya kupendeza kama hii kutoka kwa mwanandoa kwa ndoa yenye umri wa miaka 11. Kwa namna hii ya ndoa kwao daima ndani kuna amani, furaha, upendo wa dhati, nk, sio aina ya ndoa ile ambayo mmoja akiondoka aliyebaki anasema Eeeh Ahsante ili apate kupumua.

Pole na hongera sana Mungu atakuwa pamoja nawe daima kwa kuwa unatenda yanayompendeza katika kuitika wito wako hapa duniani.
amen kaka barikiwa na wewe pia.
 
Hongera sana gfsonwin kwa kuwa mvumilivu, mwenye upendo na pia kuwa na hofu ya mungu na kutekeleza yale uliyoapa pale madhabauni kuwa U Do! na kweli umeyafanya. NAKUOMBEA KHERI NA BARAKA KATIKA NDOA YAKO NA FAMILIA YAKO KWA UJUMLA, MUNGU AWAJAZE NEEMA NA UPENDO KWA MATAJIRI NA MASKINI. KUMBUKA KUTOA SADAKA.
 
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.

sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.

usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!

seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.

jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.

Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!
Kwahiyo wewe uliolewa siku ya Jumapili??maana hiyo siku nakumbuka ndiyo siku yakwanza kuitwa Baba fulani!baada ya kuzaliwa mtoto wangu wa kwanza(ELLEN) alizaliwa siku hiyo asubuhi ya saa tano kasoro(010:45hrs) pale Hospitali ya Muhimbili kwa kufanyiwa Operation Marehemu mke wangu Mungu aiweke roho yake mahali pema Peponi Amina!!Nilikupenda na nitaendelea kukupenda japo kimwili haupo na mimi ila kiroho tupo pamoja!. gfsonwin kumbuka leo nitukio la pili kufanana katika maisha yako!
 
Ticha gfsonwin yakikushinda saaaaaana mwenzangu kwa nn usijitose tu uende aliko japo siku2 ukate kiu zao zoote then urudi ukiwa kwenye stress free zone

Ila kwa leo tupa mawazo kulee n remember its women's day tafuta chochote chenye rangi ya bendera yetu tupia and have a big smile on ure face huku unaproud 4 bn a super women for ur hubbyG

thanks halaf eti nilisahau kabisa kwamba siku ya mwanamke sasa nisiwe mnyongevu
but u know what, aisee ukipenda na ukamiss hata uletwe lori zima la ice cream za baresa bado huwez kufurahi, yaani ni mpaka ile peak imepita ndipo utakapo pata amani tena.
 
Kwahiyo wewe uliolewa siku ya Jumapili??maana hiyo siku nakumbuka ndiyo siku yakwanza kuitwa Baba fulani!baada ya kuzaliwa mtoto wangu wa kwanza(ELLEN) alizaliwa siku hiyo asubuhi ya saa tano kasoro(010:45hrs) pale Hospitali ya Muhimbili kwa kufanyiwa Operation Marehemu mke wangu Mungu aiweke roho yake mahali pema Peponi Amina!!Nilikupenda na nitaendelea kukupenda japo kimwili haupo na mimi iroho tupo pamoja!. gfsonwin kumbuka leo nitukio la pili kufanana katika maisha yako!
what a coincidence!!
sorry for your loss!
 
Hongera sana gfsonwin kwa kuwa mvumilivu, mwenye upendo na pia kuwa na hofu ya mungu na kutekeleza yale uliyoapa pale madhabauni kuwa U Do! na kweli umeyafanya. NAKUOMBEA KHERI NA BARAKA KATIKA NDOA YAKO NA FAMILIA YAKO KWA UJUMLA, MUNGU AWAJAZE NEEMA NA UPENDO KWA MATAJIRI NA MASKINI. KUMBUKA KUTOA SADAKA.

ahsante sana sana mdogo wangu nawe pia barikiwa sana.
 
Jua hilo basi dada mpendwa umetoa bonge la twisheni wakati naisoma i was iamaganing the way you two love each other mpaka nikawa nashindwa kufika mwisho wa upendo uliopo kati yenu,actually i wish all marriages were like that of yours!!!!!!You have super love:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: for each other na kwa hilo nakutakieni maisha mema na yenye baraka tele siku nyingi zijazo.
thanks ma dearest stay blessed. na mungu akupe mapenzi ya kweli maishani mwako
 
Hongera sister kwa miaka 11 ya mafanikio.
Kuna wenzako wengine sasa hivi wanawaza kucheat jioni hii, au kuondoka kwenye ndoa
Ama kutafuta buzi ili aendeshe Vogue!

Ila nahisi haka kamsimu ka mvua kamechangia kwenye kumbukumbu yako hii. No no vidole vimeteleza
Kompyuta ya mchina hii.

ntakuchapa platozoom wewe!
kwanza niambi kwann siku hizi umehama nyumban??
 
Last edited by a moderator:
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.

sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.

usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!

seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.

jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.

Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!

i wish wanawake wote wangesoma ulichoandika, nadhani wangejifunza kitu kwako, kama dada mwenye busara asiyebomoa ndoa kwa mikono yake mwnyewe!! Hongera en Be blessed,
 
hongera umeshapewa pewa yingi shoga angu,mi nina swali la kizushi, huko aliko unauhakika gani kama hakusaliti je na we hujapata ki bosile hapo ofisi?mwanaume kuvumilia hiyo mikiki ya nyoka huwa hawawezi kuvumilia for so long.

ukimchunguza kuku humli endelea hivyo hivyo miaka 50 ya ndoa itakuhusu.hureeee!
 
hongera saaaaaaaaaaaaaana kwa kutamani tena na tena kuwa karibu na mumeo kwani kuna wengine wanatamani kila siku mke au mume asafiri kwa jinsi alivyomchoka,pole kwa upweke pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom