Kwa heshima nimekuwa miongoni wa jf member kukukaribisha humu naomba ukumbuke fadhila hizi ktk ufalme wako ndugu, rafiki, mheshiniwa, komred, bosi mkuu Paskalina na wote waseme Amen
Nilikua natamani nami nitoe maoni yangu au kuchangia katika mada mbalimbali zinazowekwa mezani, kuuliza mambo nisiyoyajua na pia kupata ufahamu wa mambo mbalimbali mkuu, kuna mada nilikua natamani kuchangia lakini nilikua nashindwa

Mkuu nilikua nimejisajili tangu 2016 lakini nikawa niki log in inakataa, leo nimejaribu ndio imekubali sijui nilikua nakosea nini, nilikua nasoma tu napita roho ilikua inaniuma sana, now mambo mazuri
Mkuu nilikua nimejisajili tangu 2016 lakini kikawa niki log in inakataa, leo nimejaribu ndio imekubali sijui nilikua nakosea nini, nilikua nasoma tu napita roho ilikua inaniuma sana, nowa mambo mazuri