Kwa heshima nimekuwa miongoni wa jf member kukukaribisha humu naomba ukumbuke fadhila hizi ktk ufalme wako ndugu, rafiki, mheshiniwa, komred, bosi mkuu Paskalina na wote waseme AmenKama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimefurahi kujiunga leo na jf nilikuwa natamani sikumoja nami nichangie mada, hatimae imekua.
Thanks mkuu Suriya
Thanks mkuu Suriya
Nilikua natamani nami nitoe maoni yangu au kuchangia katika mada mbalimbali zinazowekwa mezani, kuuliza mambo nisiyoyajua na pia kupata ufahamu wa mambo mbalimbali mkuu, kuna mada nilikua natamani kuchangia lakini nilikua nashindwaNiulize, swali kwako..
Kipi hasa umekua ukipendezwa nacho kuhusu JF
Na/or why umeamua kutoa muda wako kuwa as active member wa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mkuu hapana, hata hivyo asante kwa ushauri wako
Nilikua natamani nami nitoe maoni yangu au kuchangia katika mada mbalimbali zinazowekwa mezani, kuuliza mambo nisiyoyajua na pia kupata ufahamu wa mambo mbalimbali mkuu, kuna mada nilikua natamani kuchangia lakini nilikua nashindwa
Mkuu nilikua nimejisajili tangu 2016 lakini nikawa niki log in inakataa, leo nimejaribu ndio imekubali sijui nilikua nakosea nini, nilikua nasoma tu napita roho ilikua inaniuma sana, now mambo mazuriSasa kwanini wew mambo ya muhimu unakuwa unajichelewesha??? Kwann?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh!!!Mkuu nilikua nimejisajili tangu 2016 lakini kikawa niki log in inakataa, leo nimejaribu ndio imekubali sijui nilikua nakosea nini, nilikua nasoma tu napita roho ilikua inaniuma sana, nowa mambo mazuri
Mbona unaguna mkuu?
Asante sanaJisikie upo nyumbani Mrs.Paskalina