Namdai anasingizia namtongoza!

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
17,284
10,665
Kuna dada nilimkopesha elfu thelathini nilivoanza kumdai akasema atanilipa lakini mwishoni akanisingizia kuwa namtongoza na nisimpigie tena simu.Lakini namdai na sijamtongoza je pesa yangu itapatikana vipi?
 
Ndizo sababu ambazo hutumiwa saana na dadaz wasionauwezo waila wapenda kujikweza, hata jamaa yangu alimkopesha staff mwenzake ambaye ni mke wa mtu nae kusingiziwa anamtongoza.
I think baadhi ya akina dada wajihadhari na doa hili, si wote ila ni BAADHI.
 
Mkuu nakushauri tu usiendelee kumdai, kama anadai unamtongoza na pengine ni mke wa mtu anaweza kukusababishia matatizo mengi sana. Achana nae Mungu atakuwezesha kwa njia nyingine.
 
Kuna dada nilimkopesha elfu thelathini nilivoanza kumdai akasema atanilipa lakini mwishoni akanisingizia kuwa namtongoza na nisimpigie tena simu.Lakini namdai na sijamtongoza je pesa yangu itapatikana vipi?

kutokana na uzoefu wangu, ulikuwa unamtaka huyo dada na ulimpa hiyo hela ukitegemea kuwa atakubali. Sasa amegoma unadai chenji
 
Msamehe na usimpgie. Kama kweli ulimpa bila kuwa na lingine la nyuma. Mungu atakulipia. She is naive na anatumia crude way ya kupata income Mungu atakulipia siku moja. Take my word.
 
Kuna dada nilimkopesha elfu thelathini nilivoanza kumdai akasema atanilipa lakini mwishoni akanisingizia kuwa namtongoza na nisimpigie tena simu.Lakini namdai na sijamtongoza je pesa yangu itapatikana vipi?

Sasa huyu mdada ana roho ya kimaskini mpaka namuonea huruma,tsh 30,000/=ndio anajibaraguza kwa kusingizia unamtongoza,..mbona angeweza kukuambia ukweli tu kua hana na ungeweza kusamehe na mkaendelea na kuheshimiana kama kawaida,...

My take:achana nae na wala usimdai tena,....maake hawakawii kukumbia njoo uchuke halafu akasingizia ulitaka kumbaka,.
 
Kuna dada nilimkopesha elfu thelathini nilivoanza kumdai akasema atanilipa lakini mwishoni akanisingizia kuwa namtongoza na nisimpigie tena simu.Lakini namdai na sijamtongoza je pesa yangu itapatikana vipi?
kama mliandikishiana ..nenda polisi
 
wanaume na sisi tumezidi unaweza ukaampiga kirungu jamaa yako akakutolea nje baadaye utasikia anakuja kwako eti oooh kuna DEMU nimempa kilo mbili miezi mitatu sasa hajarudisha mpaka leo kila nikimwambia anayeyusha. hapo sasa anataka ushauri kwako. mademu bana mitego sana wanajua udhaifu wetu! mwanaume akikopwa na demu ni rahisi kutoa kuliko meni mwenzie akiomba mkopo. kuna jamaa yangu alimpa demu kilo sita 2004 , jamaa alijuta, demu alikuwa hana kodi ya nyumba akamkopa jamaa fasta mshkaji akampa kilichofuata baada ya 2yrs ndo deni likalipwa tena kwa mbinde ka kufikishana kwa meneja na kuandikiana ikaa demu akipata alfu 30 anapeleka hivyo hivyo mpaka deni likaisha. Kuna demu mwingine yeye alikuwa anakukopa ukianza kumdai anakuambia njoo uchukue home, kwa vile alikuwa kajaaliwa umbile ukifika gheto kwake mitego yoote utategwa ukiingia kingi tu na deni limekwisha ukidai unakaribishwa geto unakula mzigo. so wanaume tuwe wagumu kwa experience nilizonazo naogopa sana kumkopesha mtoto wa kike.
 
Kuna dada nilimkopesha elfu thelathini nilivoanza kumdai akasema atanilipa lakini mwishoni akanisingizia kuwa namtongoza na nisimpigie tena simu.Lakini namdai na sijamtongoza je pesa yangu itapatikana vipi?

Tueleze basi huyu dada mnafahamianaje mkubwa?
 
Eeeh hii thread imenichekesha, pole kaka yangu ila mkomalie atakulipa tu, watu wengine wanapenda vya mtelemko
 
kwanza huyo mdaaaaiii mpaka akulipe.baada ya hapo achana nae coz shida haina siku moja atakuja tu
 
Kuna dada nilimkopesha elfu thelathini nilivoanza kumdai akasema atanilipa lakini mwishoni akanisingizia kuwa namtongoza na nisimpigie tena simu.Lakini namdai na sijamtongoza je pesa yangu itapatikana vipi?
Asilete utani na hella chali yangu. Kamati chapa fimbo au peleka polisi.
 
Wadada bana...mm kuna mmoja nilimkopesha ela aise..akanambia atanipa j3 yake..ilipofika j3 kimya...j4 nikamkumbushia deni langu...akaniletea alhamisi(wiki jn) ila huwez amin mpk leo kaninunia ht salamu hanipi...
 
anagongwa na manyani huyo.,!!
 
Back
Top Bottom