Namdai anasingizia namtongoza!

aisee ckuwahi fikiria kama atasema hivo sababu tulikuwa tunaheshimiana sana na sikuwa na nia ya kumtongoza na ckufikiria kama nitakuja mtongoza
hii inanikumbusha mbali kidogo nimeingia rock city wasukuma bwana!
wacha wanipaparikie kila siku mi outing wenye kuweka bill za chakula,maziwa kufanya shopping hkutuma hela mpesa ili mradi fujo tu ila hata mmoja hakupata mzigo
basi kuna kaka mmoja anauza nguo na anakopesha mpaka mwisho wa mwezi na mimi nikakopa nguo 4 jumla laki na 20(aliyenidhamini mama yangu mkubwa mwenyeji wangu)
sasa kabla sijamlipa si akaanza kunitongoza outings mbili ha ha na mimi chance hiyo mtoto wa kariakoo maneno ya ulaghai nayajua jamaa akajua atakula mzigo
nikamwambia mpigie simu mamkubwa mwambie nimekutumia mpesa hela zako zote,jamaa akakubali akaenda hewani
mwisho wa siku mzigo sikumpa ha ha si akaanza kunidai nikamwambia nilikutumia mpesa si hata mamkubwa ulimwambia kuwa umepata hela?
Ikabidi aseme ukweli home mi nikamwambia wewe unisumbue mimi bure tu bila faida hilo deni ndo faida ya kukufata kuongea na wewe
ikala kwake hata babmkubwa akamwambia we umsumbue bint yangu bure hiyo ndo faida yake loo(i love my bamkubwa maana bonge la muelewa) mpaka narudi dar sikumlipa loo
sasa isije kuwa na wewe uliingiza mapenzi kabla hujalipwa deni??
Haya tuambie mlikopeshanaje hizo kumikumi 3?
 
Lakini we nawe 30,000 tu
embu mpm Bishanga akumpesa mata kumi ya hiyo
mi vihela vidogo mtu akija kukopa huwa naona ni matatizo tu kulipana so namuambia kuwa hiyo hela sina labda nikusaidie(nataja nusu ya hiyo au robo yake kulingana na uzito wa tatizo)bure hata usinilipe kisha tafuta pengine pa kuongezea
hivi vihela vidogo vidogo mwisho wa siku matatizo
sasa ndugu samehe tu hizo hela ila usiwe unawakopesha watu hela
hela ni sheteni iliyotengenezwa na binadamu
 
Last edited by a moderator:
hata mi kuna duu alinililia shida nimkope elfu 50 atanirudishia baada ya siku 3..kilichofuata ni kunisifiasifia "uar a best frnd of me never had b4" kilichofuata baada ya hapo hapokei simu wala kujibu meseji.siku moja nikamtumia meseji ya kawaida 2 nikamchana live nikamwambia sintomdai kamwe,akitaka alipe asipotaka aache.
 
hii inanikumbusha mbali kidogo nimeingia rock city wasukuma bwana!
wacha wanipaparikie kila siku mi outing wenye kuweka bill za chakula,maziwa kufanya shopping hkutuma hela mpesa ili mradi fujo tu ila hata mmoja hakupata mzigo
basi kuna kaka mmoja anauza nguo na anakopesha mpaka mwisho wa mwezi na mimi nikakopa nguo 4 jumla laki na 20(aliyenidhamini mama yangu mkubwa mwenyeji wangu)
sasa kabla sijamlipa si akaanza kunitongoza outings mbili ha ha na mimi chance hiyo mtoto wa kariakoo maneno ya ulaghai nayajua jamaa akajua atakula mzigo
nikamwambia mpigie simu mamkubwa mwambie nimekutumia mpesa hela zako zote,jamaa akakubali akaenda hewani
mwisho wa siku mzigo sikumpa ha ha si akaanza kunidai nikamwambia nilikutumia mpesa si hata mamkubwa ulimwambia kuwa umepata hela?
Ikabidi aseme ukweli home mi nikamwambia wewe unisumbue mimi bure tu bila faida hilo deni ndo faida ya kukufata kuongea na wewe
ikala kwake hata babmkubwa akamwambia we umsumbue bint yangu bure hiyo ndo faida yake loo(i love my bamkubwa maana bonge la muelewa) mpaka narudi dar sikumlipa loo
sasa isije kuwa na wewe uliingiza mapenzi kabla hujalipwa deni??
Haya tuambie mlikopeshanaje hizo kumikumi 3?

Yaani unamdhulumu mtu na mama yako anakuunga mkono. I can't imagine your family............Kweli tumepata malezi tofauti!!
 
Tatizo hapa ni jinsi ilivyo vigumu kudaiana na jinsia tofauti, ila hata wanaume wanazulumiana sana hadi unakuta walikuwa marafiki urafiki unaisha unabaki uadui tena mkubwa sana. so ukiona mtu halipi deni lako just leave atakuja tu kwani shida haziishi.
 
Mbona kwa cc watoto wa mjin huyo dawa yake ndogo 2 kama unaishi naye maeneo ya jiran ntakupa technique za kuwashika watoto kama hao huku kwe2 2naxema dawa ya jeuri n kuwa jeuri zaidi yake,kwanza cku hzi m2 ukimwambia eti ananitongoza kwa mwanamke inaonekana we ka miaka ya 90's xema ananiomba K**
 
Back
Top Bottom