Namdai anasingizia namtongoza!

Ukiisha mkopesha demu,hilo deni liweke kwenye bad debts accounts tu as kulipwa kwake ni ndoto..
 
duhhhhhh pole sana
kuliko ujiingize kwenye matatizo zaidi
bora umwachie tu .. (what goes around comes around).... KAMA...
 
Kuna dada nilimkopesha elfu thelathini nilivoanza kumdai akasema atanilipa lakini mwishoni akanisingizia kuwa namtongoza na nisimpigie tena simu.Lakini namdai na sijamtongoza je pesa yangu itapatikana vipi?

Hili ni fundisho, siku za usoni usimkopeshe mtu pesa bila ya kuwa na ushahidi wa maandishi na mashahidi angalau wawili wa kuweza kuthibitisha kwamba ulimkopesha. Hii pesa ndio sahau tena imeshatoka.
 
ckumdasi tena hela yangiu ila mabo yangu yanaenda vizuri lakini nashangaa dada shida bado zinamundama nowdays anaogopa hata kuniona
 
ebu wacha ujinga mkomalie mpaka aitoe hela hiyo...ingekuwa wewe angekukomalia na matusi juu mpaka ungemlipa.
wewe usijali anasema kuwa unamtongoza wee mwambie nirudishie hela yangu mkalie kooni tuu mpaka atoe hela hiyo.
 
Embu dai hilo deni upesiiiii sana!!! Ebooooo! Yaaani kutishiwa NYAU kidogo tu ushaingia UVUNGUNI!!!! Alaaaaaas! Hapo easy wewe MDAI KWA USHAHIDI ikiwemo sms, email na makitu kama hayo! Hata mumewe akizifuma INATHIBITISHA PASI SHAKA YOYOTE KUWA WEWE MLALAMIKAJI ULIKUWA UKIDAI DENI LAKO BILA KUCHAKACHUA!!!! Baaaaaaaaaaaaass!!! ACHA UMBURULA MAZEEEEEEE! Mjini wakikukula hawambakishii baba!!!! LOL!
 
Muulize kwa utaratibu kuwa anataka akulipeje huo mpunga wako.Asilete masihara kwenye mpunga huyo demu!

Ni kweli aisee ila awe makini maana anaweza pewa option ya mzigo........ hiyo avata yako ni balaa bonge la movie. mimi ni shabiki mkuwa wa hizo bourne.
 
mwachie mungu,***** tu huyo!elf 30 kwanza alizimaliza long time,aibu yake
 
we mtoa mada hujamuelewa huyo dada,sio anakusingizia umemtongoza bali anataka umtongoze.ukikaa sana na wadada utazijua tu lugha zao za kinyumenyume zipo nyingi mnataka mifano?
 
kama vipi mwambie akulipe indirect,unakuna mzigo mara 3,elfu 30 inakuwa settled automatically
la sivyo utaishia kulalamika tu humu,wake up men!!
 
Kuna dada nilimkopesha elfu thelathini nilivoanza kumdai akasema atanilipa lakini mwishoni akanisingizia kuwa namtongoza na nisimpigie tena simu.Lakini namdai na sijamtongoza je pesa yangu itapatikana vipi?

very funy, kwani hana utashi wake akubali au akatae? Kwa mwanamke kutongozwa ni given hana namna ya kukwepa. Lakini pia inategemea yeye kutongoza ameku-"define" vp! Au inaelekea njia unayotumia kumdai kwake ina maanisha kutongozwa.
Mwisho ni muhimu kujua pengine yeye hakuweka deni lako katika orodha ya madeni.
 
Kuna dada nilimkopesha elfu thelathini nilivoanza kumdai akasema atanilipa lakini mwishoni akanisingizia kuwa namtongoza na nisimpigie tena simu.Lakini namdai na sijamtongoza je pesa yangu itapatikana vipi?

hii inanikumbusha mbali kidogo nimeingia rock city wasukuma bwana!
wacha wanipaparikie kila siku mi outing wenye kuweka bill za chakula,maziwa kufanya shopping hkutuma hela mpesa ili mradi fujo tu ila hata mmoja hakupata mzigo
basi kuna kaka mmoja anauza nguo na anakopesha mpaka mwisho wa mwezi na mimi nikakopa nguo 4 jumla laki na 20(aliyenidhamini mama yangu mkubwa mwenyeji wangu)
sasa kabla sijamlipa si akaanza kunitongoza outings mbili ha ha na mimi chance hiyo mtoto wa kariakoo maneno ya ulaghai nayajua jamaa akajua atakula mzigo
nikamwambia mpigie simu mamkubwa mwambie nimekutumia mpesa hela zako zote,jamaa akakubali akaenda hewani
mwisho wa siku mzigo sikumpa ha ha si akaanza kunidai nikamwambia nilikutumia mpesa si hata mamkubwa ulimwambia kuwa umepata hela?
Ikabidi aseme ukweli home mi nikamwambia wewe unisumbue mimi bure tu bila faida hilo deni ndo faida ya kukufata kuongea na wewe
ikala kwake hata babmkubwa akamwambia we umsumbue bint yangu bure hiyo ndo faida yake loo(i love my bamkubwa maana bonge la muelewa) mpaka narudi dar sikumlipa loo
sasa isije kuwa na wewe uliingiza mapenzi kabla hujalipwa deni??
Haya tuambie mlikopeshanaje hizo kumikumi 3?
 
Mdai tu kwani akisema unamtongoza ndo nini, kutongoza ni kitu cha kawaida sana :biggrin:
 
Wewe ni kibaka
 
Back
Top Bottom