wanaume na sisi tumezidi unaweza ukaampiga kirungu jamaa yako akakutolea nje baadaye utasikia anakuja kwako eti oooh kuna DEMU nimempa kilo mbili miezi mitatu sasa hajarudisha mpaka leo kila nikimwambia anayeyusha. hapo sasa anataka ushauri kwako. mademu bana mitego sana wanajua udhaifu wetu! mwanaume akikopwa na demu ni rahisi kutoa kuliko meni mwenzie akiomba mkopo. kuna jamaa yangu alimpa demu kilo sita 2004 , jamaa alijuta, demu alikuwa hana kodi ya nyumba akamkopa jamaa fasta mshkaji akampa kilichofuata baada ya 2yrs ndo deni likalipwa tena kwa mbinde ka kufikishana kwa meneja na kuandikiana ikaa demu akipata alfu 30 anapeleka hivyo hivyo mpaka deni likaisha. Kuna demu mwingine yeye alikuwa anakukopa ukianza kumdai anakuambia njoo uchukue home, kwa vile alikuwa kajaaliwa umbile ukifika gheto kwake mitego yoote utategwa ukiingia kingi tu na deni limekwisha ukidai unakaribishwa geto unakula mzigo. so wanaume tuwe wagumu kwa experience nilizonazo naogopa sana kumkopesha mtoto wa kike.