Natural justice
Member
- Aug 15, 2021
- 30
- 47
We mkuu mzee wako amepigana kuwajenga ninyi, mi nampa salute tu hapo kwny ada na misosi, ungejua familia nyingine wanavyotendeana ungesikitika. Pigana ufanye marekebisho uyatakayo hapo home. Mwambie mshua nampa gwara.