GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 543
Mkuu binafsi nmeshindwa, nisaidie kupata namba na confirmation code zake mkuu unitumie mimi nibaki kusajili tu kwenye whatsApp maana imenishinda.Confirm sasa kama umeambiwa kufanya ivo ili account yako ya primo iweze kua active... Click ku confirm, then ebu nenda kwenye Inbox ya E-mail yako kule kuna SMS yenye link ya primo ya kuconfirmia watakua wamekutumia....
NB; Confirmation hii inafanyika nje ya app ya primo kupitia E-Mail yako....
Msaada tafadhali.