Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

482fb55f3b5656c68968f421b374490d.jpg
 
Kwangu kupiga inakataaaa, sasa nimepewa masaa 3 65,000
 
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......

Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
Samahani mkuu vp naomba kuuliza kuhusu kulipia kwa mwaka,, ukilipa hawafanyi uhuni
 
Kama unataka kutumia namba ya nje ambayo sio ya UsA tumia ya Philippines. ..nenda play store download app inaitwa talk2 watakupa namba utaisajili utawezaitumia kwenye whassap. ..kuna faida ya kutumia laini ya nje kwenye whassap hasa za magroup...mimi ninamagrup kama 5 hivi ya biashara ya ufugaji ya sayansi and technology yote sifahamiani na mtu yeyote ...ninapenda kushiriki kwa sababu inanisaidia ...kutumia namba yangu huko ni risk maana namba hiyo ya tz ndio naitumia kwenye benking mpesa nk ...ni rahisi sana mtu kuichukua kwenye grup na kukuibia taarifa zako na kukuibia ...pia mtu wa grup aweza ibiwa simu yake mwizi akaitumia kuwatrace na kukuibia .....
 
Samahani mkuu means namba za nchi zote zinakubali tofauti na ya usa
 
Hiyo ya Philippines haina masharti...zaUSA walishazipiga bun sijajua hiyo ya jamaa anaipataje
 
Samahani mkuu vp naomba kuuliza kuhusu kulipia kwa mwaka,, ukilipa hawafanyi uhuni
Mkuu binafsi sijawahi kulipia io service ya USA namba kwa....wiki, mwezi au mwaka, nina muda mrefu natumia tu bure.... Labda kama kuna ambaye alshawahi kulipia akupe maelekezo...
 
Naomba hapa mniambie namba hizo nazipata wapi ukiacha hizi zinazoonekana hapo
d53edb53ee44619a4ebf34d067e56499.jpg
28e02e014a41165ee29c69a93d6cb481.jpg
 
Mkuu binafsi sijawahi kulipia io service ya USA namba kwa....wiki, mwezi au mwaka, nina muda mrefu natumia tu bure.... Labda kama kuna ambaye alshawahi kulipia akupe maelekezo...
Ngoja nisubiri nione maana nilichukua trial na imeniambia ina expire tarehe 21 mwez huu
 
Ok... Poa mkuu hebu subili ili uone itakuaje... maana naona asaiv Primo wamebadili utaratibu... Namba zmekua za kulipia akati zaman tulkua tunatumia Free tu... Out of charges...

Lakini sidhan kama na kwenye WhatsApp ita expire.... Me nadhan ita expire tu kule kwenye Primo na kuacha kutumika hko ila kwenye WhatsApp nadhan mambo yatakua gud tu.... Sababu hata primo sidhan kama wanajua io namba unaitumia kwingne(kwenye whatsapp) tofauti na kwenye app yao.....
 
Nimekuelewa kiongozi, thx cn
 
Ukifika hapo nenda kwenye account verify email ukisha verify njoo u click hapo kwenye by trial
Mkuu nimefanya hivyo lakini nkiklick hapo by trial naambiwa please add and conferm your Email adrress in my account profile email adress, naomba unisaidie mkuu au kama hutojali nisadie kunipatia na kutoka kwako then unitumie
 
Confirm sasa kama umeambiwa kufanya ivo ili account yako ya primo iweze kua active... Click ku confirm, then ebu nenda kwenye Inbox ya E-mail yako kule kuna SMS yenye link ya primo ya kuconfirmia watakua wamekutumia....

NB; Confirmation hii inafanyika nje ya app ya primo kupitia E-Mail yako....
 
Back
Top Bottom