Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Mkuu hiyo link imegoma kufunguka na whatsapp inagoma kunipa verification codes kutoka primo
Msaada pls
Check na browser unayotumia mkuu na ubadilishe... Waweza tumia Google chrome au Opera mini.......
 
Tayark wakuu hayo maujanja nmekamilisha so now ngoj ni msabai malia obama ..,
 
Niefanyqa maujanja kama kaka pale juu alivyosema sasa nka confirm email..,nkaenda kwenyd ku buy nkaona free trial mm nka click free trial ambayo inaisha 18th june 2017.
 
Ila wakuu hiyo ya GB whatsApp kamq imenishinda vile maanq znakuja GB WhatsApp guide 2017 tuu nifanyeje..
 
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......

Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
Mkuu asante kwa elimu yako lakini mimi nkiweka zile namba naambiwa hivi
6c1d36ec02f7cfbbd3e5ad49793ff307.jpg
nakosea wapi?
Mkuu hiyo link imegoma kufunguka na whatsapp inagoma kunipa verification codes kutoka primo
Msaada pls
 
Ili uwe verified nenda kwenye email yako, watu wanasahau kwamba verification zote zinafanyika nje ya app ambayo ni email waliyokutumia ukimaloza kule ukija huku unakuta mambo mibashara kabisa
 
Shukrani mkuu nakuombea ujana mrefu mana uzee mateso..

Dalili za kwenda USA sizioni kabisa sasa nishindwe hata kutumia namba ya USA kweli? hebu nisafishe nyota kwa kuanza kutumia namba zao kwanza aseee khaaa Maisha haya
Hahahaha mambo ya Bongo Bahati mbaya haya...
 
Napenda chukua nafasi hii kumpongeza kaka yangu (jamaa) aliye leta hii primo humu jamii forums ..,maana sasa nipo U.S aseeee nafurahia tuu mandhari ya huko...,ila malia obama bado hajapokea my calls..,aseee

Ila all in all jamii forums ni patamu sana ......,
 
Mbona nafata maelezo yote ila kwenye kusajili namba ya whatsapp ndo haitaki
Kwenye stage ya whatsApp akikisha una click sehemu ya CALL usiguse send sms aseee utasubili saa 1 ndo., uanze tena kwenye call hapo hapi utapigiwa simu kutumia namber ya primo and then utatajiwa namba in english kutoka kwenye hiyo call uliyopigiwa ..,hiyo namba i note sehu afu utaitumia kwenye ku confirm whatsApp code. Mengne utaona tuu
 
Yaan me hata kwenye hiyo call ya whatsapp sifiki nkiingiza tu namba niliyopewa primo naambiwa hivi
65970d6575305d7db0e620e796abe696.jpg
AU MACHIZI MMENIROGA YAANI MNAROGANA HADI KUTUMIA NAMBA TU ZA USA DAH TUSIFANYIANE HIVYO WAZEE SIO POA HAMNITENDEI HAKI WACHAWI WA JF BHANA.
 
Wachawi wa JF nawapa angalizo nisipofanikiwa hii inshu yakutumia number ya USA katika whatsapp ,ntawatagg majina yenu wote maana mnafaamika mko wengi tu maana Mnaturudisha nyuma kimaendeleo .
 
Yaan me hata kwenye hiyo call ya whatsapp sifiki nkiingiza tu namba niliyopewa primo naambiwa hivi
65970d6575305d7db0e620e796abe696.jpg
AU MACHIZI MMENIROGA YAANI MNAROGANA HADI KUTUMIA NAMBA TU ZA USA DAH TUSIFANYIANE HIVYO WAZEE SIO POA HAMNITENDEI HAKI WACHAWI WA JF BHANA.
Oi kuandika namba usu usisahau mabano ( ) .mfano +1(632)800-5379 andika kwa muundo huu na
 
Oi kuandika namba usu usisahau mabano ( ) .mfano +1(632)800-5379 andika kwa muundo huu na
Naomba unitumie iyo screenshot ya hiyo whatsapp yako ambayo umefanikiwa mkuu kama kweli kwako imekubali basi next post nawataja wachawi wangu.
 
Back
Top Bottom