Namba E zitaanza muda wowote kuanzia sasa

Namba E zitaanza muda wowote kuanzia sasa

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,556
Reaction score
4,071
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na hii gari ikiwa na namba ya usajili wa DZZ kuashiria kuwa muda wowote kuanzia sasa Namba D itajaa na kuanza kutumika kwa namba E.
0CB4CD68-2FF8-4828-BE4C-70030AEF9893.jpeg
 
Namba D huu mwaka mnamaliza nayo, mnaosubiri namba E labda Januari huko. Halafu kwasasa imekuwepo kasumba watu kibao wanatembelea Chasis namba wakisubiri namba mpya. So hapa mwishoni mtasubiri mnooooo, namba D Bado ipo ipo sana mpa Xmas ipite.
 
Back
Top Bottom