Hahaha ww ndo newbie mwenye karoho korosho...
Watu tuMehangaika sana...kutafuta knowledge tumekutana....na ma strategy kibao...marobot na takataka kibao kwenye game...ko tunapokutana na watu kama ww tunaelewa Nia na madhumuni yenu..ni kukatisha watu tamaa tuuh....Siamini ukiwa newbie ukapitia Uzi huu...utatoka mtupu...Sasa hizo material zimetoka kwa newbie we raia??