Hehehehe Sasa kama sio indicators na robot ni Nini hasa kile
Ni takataka Ile
Pro traders huwa hawajiangaishi na hivyo vidude vinavyokuambis u buy au usell eti vikijikunja.
Pro traders chart kwao ni a,e.i,o,u yaani akitizama tu naked chart anajua soko linakwenda wapi na wapi sweke mitego abutue soko.
Ukishaanza sikia mtu anaongea sana kuhusu market makers Jua no coward Hana ujuzi wowote.
Ndio mnatishana huko vichochoroni kuwa market makers wanawala mitaji yenu ngama wakati hamjui rules za soko kwenda vile soko linavyoenda sio nyie mnavyotaka au sijui ki indicators kinawaambia m buy.
Aisee am out of this shit