Nalivua pendo...

Nalivua pendo...

Habari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....

Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)

Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema

Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh

kwa ufundi na miundo na mambo yote ya pwani... Sasa hayo ya pwani yalimfanya jamaa atafute mwingine kwani alimuona mwasit ni chimeo. Hata ww nakushauri usijifanye fundi saana mnamo 6 x 6
 
Hili nalo jipya!!

Nilidhani tunatakiwa kuwa mafundi katika kuridhishanba au nakosea?
 
Dada yamenikuta sina hata nguvu ya kusema........ huweziamini hapa niko natiririkwa na machozi ka bomba la mvua! Sijui nifanye nini wala nianzie wapi!

Pole sana dada. Wish I could share with you my experience
 
Hili nalo jipya!!

Nilidhani tunatakiwa kuwa mafundi katika kuridhishanba au nakosea?

kwa ushauri zaidi uangalie na yule unayemfanyia manjonjo ya ziada. Si wote watakubaliana na ww. Wanaume wana mtindo wa kumsoma sana mwanamke hasa kama ni wa kudumu nae
 
...........Fidel kwani we malaika kusema hutanitenda? Nashukuru kwa offer kaka but mh hapana acha tu nipumzike sitamani tena.

MwanajamiiOne please mie nipo nakupenda sana, hakika hutolivua tena pendo, kwangu utalivaa pendo na mapenzi siku zote za maisha yako. Niko serious MwanajamiiOne, nafahamu pia uchungu na utamu wa penzi, hutoregret kuwa nami, na hutajiuliza siku zote Sipo alikuwa wapi jamani
 
Haya sasa,
Masaundist wameanza.
Hivi wewe Sipo unataka kugombanisha wanaJF eeh?
Hivi hukualikwa juzjuz kwenye send-off yake? Ilinoga sana ndugu, na Masanilo alipendeza kweli, maana ndo mwenye mali.
 
Habari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....

Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)

Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema

Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh

Shosty, kwanza pole kama ni wewe au yeyote yule. Look, maisha bwana hayana formula, cha msingi inabidi uwe na back-up, I mean plan B, just in case. Hey, natania mwaya, nilitaka kukusahaulisha tu kidogo, let me be serious sasa;

1. Nini cha kufanya uendelee kuwa we strong?
Simple. Pretend as if nothing has ever happened. Soma vitabu na majarida mbalimbali, angalia movies na series, linganisha cases za mahusiano unaweza kuta your case is far better kuliko wengine na wanadunda. Ikumbukwe hamkuzaliwa pamoja ati, mmekutana ukubwabi so why the suffer. Love is SO BIG sweet, dont let it end there okay? At the same time, usikurupuke kuingia kwenye mahusiano mapya kwani it might be worse than the previous one, though you might be luck as well. Chunguza kwa nini hayo mahusiano yamevunjika ili kama ni wewe mwenye mapungufu basi rekebisha on ur nest relation. Kama mapungufu yalikuwa kwa jamaa, then kuwa mwangalifu for the next guy, kabla haujakolea kisawasawa, angalia kama ana vi-element kama vya yuleeee alokutosa (easy to read them). Akili kichwani shosty

2. Nini cha kufanya ili lisikusumbue na ufanyeje ili kusahau mapema?
Kwa hapa shosty, kwanza kama bado una mhitaji best then you should maintain him though ni pagumu hapa! Usiende kwa waganga wala nini (hakuna dawa za mapenzi dear). Jaribu kama unaweza mrudisha then rekebisheni tofauti zenu, if it'll work fine, otherwise let him go and forget about him completely.
Of course mtakuwa na ups and downs za hapa na pale, so usikumbuke mazuri yoyote alokutendea, kila mazuri yakija yablock na yale MABAYA alokutendea, gradually utamsahau na utaona bora hata ameenda, then you move on. WAPO dear, sio YUPO lol (Najua hapa ntashushuliwa lakini ndo ukweli wenyewe).

lizy.
 
Mwanajamii pole sana.Mimi pia yamenikuta hayo kwa mke wangu.ukifanikiwa kulivua pls nitafute,itapendeza sana tukiwa pamoja maana wote tuna uzoefu wa misuko suko ya kwenye ndoa.
 
Haahahahaha

Good suggestion though...............lol
 
MwanajamiiOne please mie nipo nakupenda sana, hakika hutolivua tena pendo, kwangu utalivaa pendo na mapenzi siku zote za maisha yako. Niko serious MwanajamiiOne, nafahamu pia uchungu na utamu wa penzi, hutoregret kuwa nami, na hutajiuliza siku zote Sipo alikuwa wapi jamani

.... Sipo aksante kwa offer!. Yeye pia aliponitaka aliniahidi hayo hayo mara oh haki tena hutojuta oh utashangaa kwa nini hatukukutana mapema na maneno mangine mengi matamu lakini yote leo yamekuwa shubiri. Sipo nawe ni mwanadamu kaka yangu.
 
Shosty, kwanza pole kama ni wewe au yeyote yule. Look, maisha bwana hayana formula, cha msingi inabidi uwe na back-up, I mean plan B, just in case. Hey, natania mwaya, nilitaka kukusahaulisha tu kidogo, let me be serious sasa;

1. Nini cha kufanya uendelee kuwa we strong?
Simple. Pretend as if nothing has ever happened. Soma vitabu na majarida mbalimbali, angalia movies na series, linganisha cases za mahusiano unaweza kuta your case is far better kuliko wengine na wanadunda. Ikumbukwe hamkuzaliwa pamoja ati, mmekutana ukubwabi so why the suffer. Love is SO BIG sweet, dont let it end there okay? At the same time, usikurupuke kuingia kwenye mahusiano mapya kwani it might be worse than the previous one, though you might be luck as well. Chunguza kwa nini hayo mahusiano yamevunjika ili kama ni wewe mwenye mapungufu basi rekebisha on ur nest relation. Kama mapungufu yalikuwa kwa jamaa, then kuwa mwangalifu for the next guy, kabla haujakolea kisawasawa, angalia kama ana vi-element kama vya yuleeee alokutosa (easy to read them). Akili kichwani shosty

2. Nini cha kufanya ili lisikusumbue na ufanyeje ili kusahau mapema?
Kwa hapa shosty, kwanza kama bado una mhitaji best then you should maintain him though ni pagumu hapa! Usiende kwa waganga wala nini (hakuna dawa za mapenzi dear). Jaribu kama unaweza mrudisha then rekebisheni tofauti zenu, if it'll work fine, otherwise let him go and forget about him completely.
Of course mtakuwa na ups and downs za hapa na pale, so usikumbuke mazuri yoyote alokutendea, kila mazuri yakija yablock na yale MABAYA alokutendea, gradually utamsahau na utaona bora hata ameenda, then you move on. WAPO dear, sio YUPO lol (Najua hapa ntashushuliwa lakini ndo ukweli wenyewe).

lizy.
Oh My my Lizy

Thanx darling kusema kweli ushauri wako nimeuelewa mpenzi ngoja nitekeleza. Once again aksante sana Lizy
 
Mwanajamii pole sana.Mimi pia yamenikuta hayo kwa mke wangu.ukifanikiwa kulivua pls nitafute,itapendeza sana tukiwa pamoja maana wote tuna uzoefu wa misuko suko ya kwenye ndoa.

CarthbertL kwanza nikupe pole kwa yalokusibu. Hakika nafikiri kuna umuhimu wa kuiongezea ule msemo wa Pesa chanzo cha matatizo duniani na usomeke Pesa na Mapenzi vyanzo vya matatizo duniani lol

Sasa mwenzangu uliwezaje kusahau kiasi cha kupata nguvu za kurudi tena mapenzini?
 
Duh Mwanajamii inaonyesha umeikubali ofa hiyo na mm utaniacha na nani mammy?
 
Fidel kwa nini wasema hayo? Hapana sijakubali ofa yayeyote yule acha kwanza niugange moyo wangu ulopondekapondeka kama utakuwa ammended then nitajaribu kurudi ulingoni ila kwa sasa sina uhakika na hilo!
 
MwanajamiiOne please mie nipo nakupenda sana, hakika hutolivua tena pendo, kwangu utalivaa pendo na mapenzi siku zote za maisha yako. Niko serious MwanajamiiOne, nafahamu pia uchungu na utamu wa penzi, hutoregret kuwa nami, na hutajiuliza siku zote Sipo alikuwa wapi jamani

haa kweli kufa kufaana
 
Hapana mama unasoma alama za nyakati ukiona hapaeleweki unachapa mwendo kama Nyamayao alivyo kula kona kwa yule aliye mwacha silencer.
Nyamayao aliachwa kwenye motion.[/QUOTE

wacha tu luv.
 
Fidel kwa nini wasema hayo? Hapana sijakubali ofa yayeyote yule acha kwanza niugange moyo wangu ulopondekapondeka kama utakuwa ammended then nitajaribu kurudi ulingoni ila kwa sasa sina uhakika na hilo!

Haya mama nakutakia kila la kheri sasa naona umepewa ushauri mwingi humu na kila ushauri unasema utaufanyia kazi au ndo yale yale funika kikombe mwanaharamu apite? Unafanyia kweli kazi?
 
mhh nahic we ndo utamuumiza kupitiliza....

hehehehe umeanza kauzibe Nyamayao umejuaje mm nitamuumiza? Hapa atakuwa amefika na atapumnzika moyoni kila week end tutakuwa pamoja mpaka saloon nitamsindikiza chakula nitamsaidia kupika n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom