Yo Yo am still hanging on a thin thread my dear thanx for your concern.
Guys have been confusing me more wapo walosema nivumilie kwani ndoa si lelemama na nikumbuke wazazi wetu wamepitia mangapi hadi sasa wako pamoja (nisifikiri wao walikuwa wanakula bata tu kila siku) So nigangamale kama mwanamke!!
Others mmeniambia nisikilize moyo wangu yaani kama nataka kutimua basi nianze bila kumtizama wala kukumbuka nyuma (ukitaka kumkoma nyani giladi, usimtizame usoni si ndiyo). Mh matters of the heart .............
Since the situation in the house doesnt seem to change(bado hali ni ile ile-nafikiri anasubiri nitakapoamua kubeba rambo zangu ndo azungumze maana zaidi ya salamu hakuna kitu ni za saa hizi... za asubuhi full stop!! mimi nikimwambia I need to talk to you hanijibu kitu na akija anaendelea tu na shughuli zake so am stranded!!