Nalivua pendo...

Nalivua pendo...

Kwa hiyo majina nayo yanaleta hamu na hamasa flani swity?

luv mie naona yote sawa tu, ukimwita baba fulani au jina lake poa tu, sema wengi wetu wakishapata mtoto tu wanaitana mama/baba fulani unakuta kuitana majina yao inakuwa kama ngumu kidogo.
 
luv mie naona yote sawa tu, ukimwita baba fulani au jina lake poa tu, sema wengi wetu wakishapata mtoto tu wanaitana mama/baba fulani unakuta kuitana majina yao inakuwa kama ngumu kidogo.

Lakini Pwani huku naona watu wanaitana majina yao tu kama wewe ni Bi Aisha utaitwa hivyo kama Mr. ni Jumbe ataitwa hivyo.
 
Kwani kuna ubaya swity? Si anavua kule alafu anafanya replacement pahala pengine life goes on.
.... He nako nikitendwa si nitakuwa kila siku nalivua pendo nalivua pendo mwishowe pendo ligome kuvalika milele bure!!
 
.... He nako nikitendwa si nitakuwa kila siku nalivua pendo nalivua pendo mwishowe pendo ligome kuvalika milele bure!!

Hapana mama unasoma alama za nyakati ukiona hapaeleweki unachapa mwendo kama Nyamayao alivyo kula kona kwa yule aliye mwacha silencer.
Nyamayao aliachwa kwenye motion.
 
...........Fidel kwani we malaika kusema hutanitenda? Nashukuru kwa offer kaka but mh hapana acha tu nipumzike sitamani tena.

Lakini Mwana sio lazima just a game of chance.
Mi mcha Mungu kama Yo Yo kwa hiyo kwa sasa ngoja kidonda kipone kwanza.
 
............ JosM ndo naelekea huko ingawa sio kazi ndogo!!

teh teh teh,ni kazi eeh?....Ngoja na mimi leo nikuchangie angalau mawazo yangu kidogo:Unajua hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kutokuheshimu hisia zako,utaumia sana.Naomba usikilize moyo wako kama bado unapenda huyo jamaa au la .

Kama ni ndiyo basi endelea kuvumilia na tafuta mbinu ya kumrudisha kwako muwe kama mlivyo anza mapenzi yenu.Unajua kama unakipenda kitu utakipigania mpaka mwisho, na inakuwa sio rahisi kukata tamaa....

Sawa leo unaweza kuachana nae kesho ukampata mwingine ambae atakuwa na matatizo kuliko huyu uliyemuacha,hivyo unakuwa umeruka mkojo umekanyaga ki******.kama moyo wako haupo tena kwa jamaa na kushauri achana nae mara moja (japokuwa sipendi hii kitu itokee).

ONYO Usiwazikileze akina Fidel na wenzake,si unaona wanataka uachane na jamaa alafu wao wakuchukue? kwanza Fidel mwenyewe aliachwa na mkewe kwa sababu ya kupenda totoz.

naomba nikuulize swali moja:Je bado unampenda mumeo ?
 
ONYO Usiwazikileze akina Fidel na wenzake,si unaona wanataka uachane na jamaa alafu wao wakuchukue? kwanza Fidel mwenyewe aliachwa na mkewe kwa sababu ya kupenda totoz.

hehehehe JosM mbona Mwanajamii anajua wazi kuwa mimi bado nipo nipo lakini tatizo kuna mke wamtu ananipenda mno kuliko maelezo anasubili tu apewe talaka na mme wake ili awe huru. Mi bado JosM natarajia 2012 nitaweka wazi hapa hapa mtajua tu.
 
Mkuu nina concrete shared experience, which is from my best friend

Personal experience bado sina, mie bado nipo kama Fidel

Sasa jipige pige utoke kwenye hilo kundi basi heheheheeeh, experience kama ni shared from a 3rd party haiweze kuwa concrete, ni muhimu uiexperience mwenyewe!
 
hehehehe JosM mbona Mwanajamii anajua wazi kuwa mimi bado nipo nipo lakini tatizo kuna mke wamtu ananipenda mno kuliko maelezo anasubili tu apewe talaka na mme wake ili awe huru. Mi bado JosM natarajia 2012 nitaweka wazi hapa hapa mtajua tu.

mkuu ndo huyo wa 2012 nini? isije ikawa ni mtaalamu wa kutafuna vya kunyonga tu kuchinja huwezi??🙄
 
Hahahaha Kaizer bado huyo hayupo kwenye list labda Mwanajamii anaweza akapigania aingie kwenye list hehehe.
 
hehehehe JosM mbona Mwanajamii anajua wazi kuwa mimi bado nipo nipo lakini tatizo kuna mke wamtu ananipenda mno kuliko maelezo anasubili tu apewe talaka na mme wake ili awe huru. Mi bado JosM natarajia 2012 nitaweka wazi hapa hapa mtajua tu.

kwi kwi kwi,huna lolote hizo ni kamba za kumfunga Mwj1 tu.Hivi kwanza unajua Mwj1 kuwa ni jirani yako na anakujua fika wee jidanganye hapa
 
Hahahaha Kaizer bado huyo hayupo kwenye list labda Mwanajamii anaweza akapigania aingie kwenye list hehehe.

kwi kwi kwi mkuu jana makumbusho ilikuwaje leo si ndo wazee wa mujini wanapiga pale? manake inaonekana kama uko bwii, yaani MJ1 aanze kupigania nafasi, ina maana timu yako namba zinaopiganiwa mkuu! LOL
 
Kiongozi kabla ya kulivua pendo hebu jaribu kafanya analysis uone katika mahusiano hayo kipi kinazidi chenzake karaha au maliwazo,kama karaha zinazidi maiwazo then una quit,kama maliwazo ni mengi zaii ya karaha mie nashauri uwe mvumilivu tu mkuu,huwezi kupata 100% maliwazo tuuuu!!!
 
Habari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....

Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)

Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema

Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh

kwa ufundi na miundo na mambo yote ya pwani... Sasa hayo ya pwani yalimfanya jamaa atafute mwingine kwani alimuona mwasit ni chimeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom