Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
hahahaha mkuu kumbe na wewe unaweza kulia lia eeh!
hehehehe hapana mkuu ukiona mpambe wa karibu unasauliwa lazima ukumbushie mkuu Kaizer teh teh teh.
hahahaha mkuu kumbe na wewe unaweza kulia lia eeh!
hehehehe umeanza kauzibe Nyamayao umejuaje mm nitamuumiza? Hapa atakuwa amefika na atapumnzika moyoni kila week end tutakuwa pamoja mpaka saloon nitamsindikiza chakula nitamsaidia kupika n.k
umesahau kuwa wewe ni mzee wa hit&run?
.... Sipo aksante kwa offer!. Yeye pia aliponitaka aliniahidi hayo hayo mara oh haki tena hutojuta oh utashangaa kwa nini hatukukutana mapema na maneno mangine mengi matamu lakini yote leo yamekuwa shubiri. Sipo nawe ni mwanadamu kaka yangu.
Duh Mwanajamii inaonyesha umeikubali ofa hiyo na mm utaniacha na nani mammy?
haa kweli kufa kufaana
Nyamayao nilijua tu utaharibu dada yangu
Ngoja nikunong'oneze jambo naomba unipigie debe kwa MJ1 ili nimpate awe mke wangu halafu wewe na mumeo ndio mtasimamia harusi yetu, please dada nifanyie hiyo kazi najua MJ1 anakusikiliza sana
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu lol aksante dada maana alivyoyapamba maneno kidogo niilambe asali lol!
Haya sasa,
Masaundist wameanza.
Hivi wewe Sipo unataka kugombanisha wanaJF eeh?
Hivi hukualikwa juzjuz kwenye send-off yake? Ilinoga sana ndugu, na Masanilo alipendeza kweli, maana ndo mwenye mali.
MJ1 shughuli unayo, sasa hapa bado hajawatangazia kama kaachia ngazi jumla, akiwatangazia c ndo balaa lenyewe?...lol
umesahau kuwa wewe ni mzee wa hit&run?
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu lol aksante dada maana alivyoyapamba maneno kidogo niilambe asali lol!
ucdhubutu...lol
nakweli mummy huyu fide anataka kuleta zile za vita vya panzi sherehe kwa .............mhh nahic we ndo utamuumiza kupitiliza....
Mama nahit na kurun totozi ambapo nipo single unajua ukiconcetrate sana kwa totozi unaweza usijenge dawa ili usiombwe vocha,simu kali,fedha za vekesheni,saloon,mafuta n.k ndo maana nihit basi biashara imekwisha hata ofa za Ndovu,Redbull,Konyagi zinakata.
Fidel80
hapa tupoooo pamoja kaka, no concetration kwa mademu wa kileo unaweza fulia kabla ya wakati. Mtu pekee wa kumpa concetration akinikubali kwa sasa ni MJ1.
Shosty mbona maada imeanza kubadilika tena?angalia usitendwe tena.naona vija huku wameaanza kulia mwanajamiione.
Hapo chacha unalo
Shosty mbona maada imeanza kubadilika tena?angalia usitendwe tena.naona vija huku wameaanza kulia mwanajamiione.
Hapo chacha unalo