Nalivua pendo...

Nalivua pendo...

Da pretty nothing comes from the vacuum..........ulilolisema litakuwa limekugusa kwa njia moja au nyingine. Mpige chini tu kama kila siku akukosea alafu ankuomba misamaha kibaooooo
 
where is MJ1?? she had us run for the money with nalivua pendo
 
Pole Da Prety
Ndo maisha hayo, likija likumbatie, lienzi na kulifurahia, likikukera tafakari beba kumbukumbu nzuri chapa mwendo. Liko pumziko la amani mbele yako.

JF ilinisaidia sana mie mwenzenu naiheshimu kuliko. Sasa hivi niliyakumbuka natabasamu si kwa uchungu la hasha kwa furaha ya kuweza kuondoa pendo lile la uvundo!
 
...aaseee!...it takes me back to 2009!jaman where is mj1 when we need her the most?
 
:washing:Hahahaha we Teamo bana. Those days bana ah!
Sasa hivi najicheka eti!
 
mbona mi naelekea kulivaa jaman, Mungu niepushe na shetani mie! Huyu dada alifuka mistari hii ya ukweli asee
 
Da pretty, naamini ni wimbo tu and got nothing to do with ur story ( sipendi ku-assume aisee,lol!)

MwJ1, naona kama tukupe-copiraiti ya huu wimbo! Naupenda sana wimbo huu (sijui nna kichaa, napenda pia ule wa whitney 'do it on my own').
Its very empowering!
 
aseee mj1 fundisha maexperience hiyo da pretty....!nakumbuka sana 2009...ile jf ya kipindi icho ilikuwa na "a different taste"...manake from "nalivua pendo" to "baby come back"....haahhaha!

asee king'asti jambo veve?...
 
Hahhahhah Teamo, Teamo eti Baby Come Back mwe!! na isingekuwa JF angenicomisha Back aisee, ile timing yake ilikuwa mbaya kweli, peke yangu nisingeweza aisee.

Well unadhani kuna maexperience yoyote ya kufundishana?? hakuna aisee yaani ngoma hii ina jina moja lakini mirindimo yake ni tofauti kabisa kwa kila mchezaji.
 
Da pretty, naamini ni wimbo tu and got nothing to do with ur story ( sipendi ku-assume aisee,lol!)

MwJ1, naona kama tukupe-copiraiti ya huu wimbo! Naupenda sana wimbo huu (sijui nna kichaa, napenda pia ule wa whitney 'do it on my own').
Its very empowering!

Hahahahahaha King"ast usinifanye nikachukiwa na Mwasiti bure. Yeah very empowering maana nakumbuka nililotendwa siku ile asubuhi nikiwa naelekea kazini na nilipoanza kujiuliza hivi ninaganda hapa kwa kitu gani hasa, ndo Radio Clouds wakaachia hiki kipande, nikajikuta nasikiliza hadi mwisho! , by the time nashuka kwenye gari, tayari nilishaamua vya kuamua.

Tena nakumbuka siku ile niliipost ile thread asubuhi yaani kitu cha kwanza baada ya kuketi ofcn...... huku machozi yakintoka ah! Jamani alovumbua mapenzi mpeni tu sifa yake.

Afu we Da Pretty ndo nini ku-baby comisha pasts bana??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom