Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
just do it!aksante lol................. Najiuliza should i??
just do it!aksante lol................. Najiuliza should i??
Hujambo mwaya ............Habari za siku mingi? wanasema atiHabari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....
Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)
Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema
Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh
Kama mapenzi ndio haya,naona bora nikimbie
Naona sura ya furaha, iweje leo anibadilikie
Nimechoshwa na vituko na vipigo, majeraha kila siku mpenzi wanguu
Hivi kwa niniiiii, eh eh huniaminiiiiiiiiiiiX 2
Penzi nakupa, lilokuwepo kitamboNikikupata milele nitafurahi, nitaimba nakupenda hadi mwisho wa uhai
Mapenzi sio sura ma, mapozi kama wengi wanavyodhani bali ni hiyo tabia, busara......X 2
Penzi nakupa, lilokuwepo kitambo
Halitakufa, labda ulete vijimamboX2
Moyo ungekuwa na mfupa, mabaki ungeyapata
lakini kamili u nyama, ukioza umeoza
Una thamani moyo wako kwangu mimi,
Natathmini jinsi gani ya kuutunzaX2
Najua huna mfupa, nikicheza nimepoteza
kwani kamili u nyama, ukioza umeoza
Nipatie moyo wako, niuweke mpenzi wee
sitatupa asilani, moyo wako jalalani
Usijeliwa na mafunza, nisije upoteza eh
sikitiko nikiona moyo wako jalalani............. Jide & Papii Kocha
Hii inahusu nini aisee....kulivaa pendo sio?
MoyoHii inahusu nini aisee....kulivaa pendo sio?
Moyo
Moyo
NAdhani inachukua muda mrefu kulivua pendo ulilolizzoea na muda mfupi kulivaa lile unaloona linafaaHuu :A S 12: au huu :A S-heart-2:
BTW: Inachukua muda gani kwa mtu kuvua pendo? Na kuvaa inachukua siku ngapi?
NAdhani inachukua muda mrefu kulivua pendo ulilolizzoea na muda mfupi kulivaa lile unaloona linafaa
Mbu...aksante kwa dhawadi lol.![]()
...mnh, dada'ngu weye unastahiki kutunukiwa udaktari wa falsafa kwenye fani hii.
![]()
...mnh, dada'ngu weye unastahiki kutunukiwa udaktari wa falsafa kwenye fani hii.
![]()
...mnh, dada'ngu weye unastahiki kutunukiwa udaktari wa falsafa kwenye fani hii.
sasa una-manage vipi hiyo transition ya penzi la zamani na hilo jipya?NAdhani inachukua muda mrefu kulivua pendo ulilolizzoea na muda mfupi kulivaa lile unaloona linafaa
sasa una-manage vipi hiyo transition ya penzi la zamani na hilo jipya?
Unamaanisha kama kuna wakati anakua uchi (bila pendo?) au anavaa kabisa pendo jipya ndipo avue la zamani?
Karibu juu kaka..