Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Hapo Mwana tafuta kipoozeo cha pembeni anakuwa spare tyre ukiona uvundo unajirestisha kwa spare wewe huoni hata mafiga yapo matatu.
Asiwe kama pikipiki inayotegemea taa moja giza likiingia kuwa kama gari ambayo ina mataa 2, moja ikizima nyingine inaendelea kuangaza mpaka kuna kucha, mie nipo tayari kuwa taa ya pili :kev: