Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
We hangover imekwisha? Mbona unasoma post za watu hadi unageuza page nyuma??
haijesha! mwenzio niko hoi,, ila bahati 'mbaya' nikaiona hii
Nipigieeeee.. .....
We hangover imekwisha? Mbona unasoma post za watu hadi unageuza page nyuma??
hahahah hebu muacheni De Novo ni mtumishi wa Bwana anayechunga kondoo wake vizuri amah!!
Nilikumiss pis my dia si wajua tena valentino ilinibidi kwenda kudeka kwa mama kidogo lol! But am much better now thanx
haijesha! mwenzio niko hoi,, ila bahati 'mbaya' nikaiona hii
Nipigieeeee.. .....
safi sana kama ulikuwa kwa mama!! najua ulipata true love huko duh!!! umenikumbusha the last valentine i spent with my mom in 2004 and it was true the last one..........
Kama unamaanisha nilivyoelewa pole dada yangu ni mapenzi ya MUNGU
kweli ni mapenzi ya Mungu!! namshukuru pia kwa kuwa alinipa mama kama yule!!!!
Ukuu wa Mungu.....Mungu siyo MCHOYO kiasi hicho..life goes on B! we sail in the SAME boat!
Nipigie! Binamu nipigie (ngoja nende dukani!)
faraja yake imetanda kooote!!! Asante Mungu maisha yanaendelea B!!
ntakupigia darling...........
mi nawe kitu kimoja................
mi nawe lengo ni moja..................
(Goeff kaniambukiza mapenzi kwa huu wimbo)
Mh!!
Kaizer kumbe ndo mana ukamimwaga kwenda kwenye Iringa.
.......:😀faraja yake imetanda kooote!!! Asante mungu maisha yanaendelea b!!
Ntakupigia darling...........
Mi nawe kitu kimoja................
Mi nawe lengo ni moja..................
(goeff kaniambukiza mapenzi kwa huu wimbo)
mh!!
kaizer kumbe ndo mana ukamimwaga kwenda kwenye iringa.
Ndahani nashukuru kwa kunipa moyo ila mh maana kama kuvumilia ni mwngi nimevumilia lakini mwishoni naona nashindwa. kwa nini mimi tu, mimi tu niwe nabembeleza kila siku hata kama makosa kafanya yeye?
mimi tu niwe naumia kwa sabau yake?... kwa nini mimi tu ndo niwe nahangaika to make it work? ... mimi tu why mimi tu? jamani ah
usiruhusu katika maisha haya kukumbatia mambo yanayokufanya ukose furaha!! Unahitaji kuwa na furaha, walau na nafsi yako, kuhusu wengine wanaoweza kukudanganya wanataka kukufanya uwe na furaha wanaweza wasiwe wanamaanisha. Ukijinyima furaha mwenyewe, unajitendea ukatili usio na kifani. Una uamuzi wa kuwa na furaha au huzuni!! Kila la kheri dada/mama.The Sun rises everyday, and every night the stars shine. If today was a disappointment, remeber thta the cycle of life goes on. Tomorrow will be a new start........ Maria Fontaine
Eh.....babu sina cha kusema.......umeamua kunikumbushia machungu but hey..its a way of life and through this we are made much, much more strong. ah.....hata siamini nilipita kule.......afu sasa hivi kaona nimesimama analeta za kuleta jamani!!............Wakati naamka leo asubuhi huu wimbo ulikuwa unapigwa redioni leo na umenikaa kichwani hadi muda huu yameniijia mawazo mengi sana ila nilichowaza ni siku nikikutana na huyu Mwasiti nitamuuliza aliandika kutokana na kisa cha kweli au ni idea tu ilimuijia kichwani sababu wimbo una maneno mazito sana.
Eh.....babu sina cha kusema.......umeamua kunikumbushia machungu but hey..its a way of life and through this we are made much, much more strong. ah.....hata siamini nilipita kule.......afu sasa hivi kaona nimesimama analeta za kuleta jamani!!............
Mafiga yakiwa matatu, nawe si uchomeke kuni zako kupitia milango mitatu ili moto uwake na chakula kiive? Aidha, when this ending situation happens, there will be no discussion, but full of peace of mind and automatically you will be conformable and ready for whatever you decide....!Habari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....
Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)
Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema
Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh
Wakati naamka leo asubuhi huu wimbo ulikuwa unapigwa redioni leo na umenikaa kichwani hadi muda huu yameniijia mawazo mengi sana ila nilichowaza ni siku nikikutana na huyu Mwasiti nitamuuliza aliandika kutokana na kisa cha kweli au ni idea tu ilimuijia kichwani sababu wimbo una maneno mazito sana.
Habari yako banaa usisahau niko kule i am watchingHabari yako The Finest.........
Habari yako banaa usisahau niko kule i am watching
Muzee haya banaaaSalama muzee ya mnazi?