Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Kunywa Konyagi kiloba au piga Valeur ukikosa hiyo piga Vodka kitatulia tu na utachangamka.
Mkuu ndo wataka nipotee kabisa hapa jamvini! Duh! Mi sina miadi na mtu ndo nipige mambo yote hayo mkuu!
Kunywa Konyagi kiloba au piga Valeur ukikosa hiyo piga Vodka kitatulia tu na utachangamka.
..Ah Fidel mpenzi sasa hapa ntakuwa napendwa kweli au nguvu za limbwata? likichuja je?
Mkuu ndo wataka nipotee kabisa hapa jamvini! Duh! Mi sina miadi na mtu ndo nipige mambo yote hayo mkuu!
.......... hana jema kwako huyu kakaangu......Mkuu ndo wataka nipotee kabisa hapa jamvini! Duh! Mi sina miadi na mtu ndo nipige mambo yote hayo mkuu!
hehehe Mkuu shemeji si yupo lakini? Kuku wako ya nini umshikie manati bana.
.......... hana jema kwako huyu kakaangu......
OP:
Mbona kaka na nyamayao hamkutupa mrishonyuma? je ninyi ni kapo au la?😱
Subiri kidogo MJ1 Tuone kama tuliweke public ama vipi, bado tunafanya internal negotiations!🙄
........... ehee!
Eti Fidel mbona ile thread ya "Tumempoteza Binti huyu.... sijui siioni au napofuka siku hizi? Nisaidie kaka yangu
Mkuu yupo sana ndo nilikuwa nimeenda kumwona fasata anipe walau maji kichwa kitulie tulie!
Mkuu lakini unaendeleaje saizi?
Au kiloba unapiga jioni?
Tafuta swity ipo mbona haijapotea ipo tu.
Ngoja niibue mama. Punguza kula maharagwe sana.
Mkuu sasa afadhali kidogo ndo unaona walau nachungulia hapa, asubuhi ilikuwa mbaya kinoma,, asante sana kwa kujali,, nitaangalia jioni naweza nikapiga kamoja kwa mbaaali
By the way hii thread ya Mwalyambi mbona haionekani imekuwaje? kuhusu yule binti kama alivouliza MJ1 hapo juu
Nisaidie kaka maana mie nshatupiwa dongo ati nala maharagwe sana ndo mana napofuka!
Yo Yo am still hanging on a thin thread my dear thanx for your concern.
Guys have been confusing me more wapo walosema nivumilie kwani ndoa si lelemama na nikumbuke wazazi wetu wamepitia mangapi hadi sasa wako pamoja (nisifikiri wao walikuwa wanakula bata tu kila siku) So nigangamale kama mwanamke!!
Others mmeniambia nisikilize moyo wangu yaani kama nataka kutimua basi nianze bila kumtizama wala kukumbuka nyuma (ukitaka kumkoma nyani giladi, usimtizame usoni si ndiyo). Mh matters of the heart .............
Since the situation in the house doesnt seem to change(bado hali ni ile ile-nafikiri anasubiri nitakapoamua kubeba rambo zangu ndo azungumze maana zaidi ya salamu hakuna kitu ni za saa hizi... za asubuhi full stop!! mimi nikimwambia I need to talk to you hanijibu kitu na akija anaendelea tu na shughuli zake so am stranded!!
kwani kisa kilianzia wapi? ilikuwaje mpaka akatamka maneno yale? au kuna kingine siri yako?
mna muda gani ndani ya ndoa?
........... Ni kisa kidogo sana ambacho hata mtoto mdogo atashangaa ila kwa sababu za usalama wangu plz I cant put it here- in case anapitiaga humu!!.
Subiri kidogo MJ1 Tuone kama tuliweke public ama vipi, bado tunafanya internal negotiations!🙄
...ndio hapo mifarakano isipoisha ndani ya nyumba, kisa kidooogo mtu anatingisha kibiriti weeeeeh, mara puuu kimelipuka huyo mbio anakimbilia kutafuta 'zimamoto'
Bahati mbaya 'zimamoto' zenyewe za kibongo hata zikija hazina maji! Shemeji yetu huyo kama anatusoma hapa namuomba apunguze pride, ...Mw'j1 keshaomba faragha kuongea jamaa umenuna tuuu,...acha hizo kaka
Mw'j1 nawe naomba nikung'ate sikio, punguza munkari wa kutamka "Ni kisa kidogo sana ambacho hata mtoto mdogo atashangaa", unajua kila mmoja wetu katokea kwenye malezi tofauti,... wewe unaweza kuambiwa toka, ukahoji kwanini...wakati mie nikiambiwa toka basi naacha kila kitu natoka mbio... huo ni mfano tu wewe uliyelelewa uraiani na mie niliyelelewa 'Police Barracks'...Hicho kilicho kidogo kwako mwenzako kimemgusa ndipo 🙂
Mbu aksante kwa ushauri wako. Kusema kweli kama ni kiberiti basi karibu kitalipuka maana..... nway naomba niishie hapa nisijeonekana mlalamishi sana but ........ yana mwisho haya !
avute subira, yeye ndio atakuwa wa kwanza kujulishwa.....