Masaa yatapita, siku zitapita, miezi itapita lakini naamini neno NDIYO litatokea kinywani mwa mrembo Arabela.
don't change your mind baby coz i love you so much. Naomba ulifute jina la zubedayo wa kumchuzi kwenye fikra zako
Kaka shemeji na mdogo wifi
naweza kuja pia?
Utayawezaaa?
mi ni mwanafunzi mwema sikosagi vipindi.......
Na kweli...iwe tu hivyo kuepusha msongamanoHa ha ha haa yaani inabidi iwe hivyo..HIZI CODEMIXING hizi zima mambo.
Na kweli...iwe tu hivyo kuepusha msongamano