Naliaaa...Naliaaaa!!

Naliaaa...Naliaaaa!!

Huu ni wimbo au ??? nyimbo za namna hii nilizoea kuzisikia kwa Ramazan Remmy Ongala...
 
Hahaha...siku utayokuja ndio utakayonitafuta, mie si mkaaji wa eneo moja kutokana na mazingira ya kazi!!

Nyumbani ni nyumbani bhana!!
Haya,unapatikana maeneo gani hapo Dsm,ili nikipita nikutafute?
 
Back
Top Bottom