Nakuwa mzito kuomba mchango wa harusi

Nakuwa mzito kuomba mchango wa harusi

Habari za saa watanzania wenzangu,

Namshukuru Mungu Kwa kuzidi kuniongoza katika safari ya maisha ,Mimi ni kijana ninaye chukia sana kitu kinaitwa mchango wa harusi ,ni Bora niombe mchango wa matibabu lkn sio harusi,nilibahatika kupata kazi mwezi wa tano mwaka huu ,ila pia Kwa neema za Mungu pia nilibahatika kukutana na mwanamke niliye kuwa naishi naye tangu chuo na hatimaye akapata ujauzito pindi tu tulivyomaliza chuo,alitamani sana tufunge harusi,sikuwa na kipingamizi chochote,kwasababu pia nilikuwa nampenda .changamoto wazazi wake na baba mkubwa wake wanataka harusi ambayo kiuhalisia Mimi Sina uwezo huo wa kualika watu wengi ila nilikuwa nauwezo wa kualika wazazi wangu na wazazi wa mke wangu na mashaidi wachache sana bila kuomba mchango wowote ,inshort watu 10 tu ,ila sasa wazazi wangu hawataki harusi ya namba iyo wanataka kujulisha ndugu hasa mzee wangu anapenda sana sifa ,za kutaka Kila mtu uko kijijini ajue ,

Ninachoka sana nikiwaza hili ,ila Kwa bahati nzuri mzee ana marafiki ambao aliwachangia sana harusi ila awamu hii anataka ela zake zirudi ,nimejitoa na kukaa pembeni kisubiri tu iyo siku ifike ya harusi Kwa maana sielewi,nilipenda sana harusi iwe simple IL Sasa wazee wamekuwa wagumu kutaka kunielewa ,wao wanataka harusi ya umati mkubwa ndugu uko kijijini wajue[emoji51].

Ukweli ni kwamba nashindwa kuelewa huu utaratibu wa kuomba mchango wa harusi Kwa ndugu jamaa na marafiki ,nimekuwa na waza sana ni Kwa nini jamii imeweka huu utaratibu tangu zamani,nachoka Kwa hichi kipindi kuelekea kufunga harusi,siwezi kuomba naona ni utaratibu wa ajabu sana ,kusumbua watu eti kisa ninaoa.

Hapa wazazi wangu wanasema ni add watu Kwa group la wasap kuwajulisha naoa [emoji51] aisee nikiwaza sipati majibu nachoka akili,na wazazi na ndugu wa huyu mke wangu wanapenda harusi kupita maelezo,
Siku si nyingi wazazi wanawatambulisha home wakwe na ndugu wa huyu mke wangu ,hapa wazazi wanapanga debe za mbege walizo ambiwa na hao wazee wa huyo mke wangu na wao pia wanachoka ila ki ukweli pia wazazi wangu wanapenda sifa za kutaka kuonekana wanafanya harusi Kwa ajili ya mtoto wao.

Naomba Ushauri wenu wadau.
Mzee wako ni mtu wa watu, sio sifa maana ndo sababu ya kuishi duniani.
Nakushauri jifunze kwa mzee na fanya wanavyo taka muanze na baraka
 
Mimi nina mawazo kama ya mtoa mada mwakani nitafunga ndoa ! Mungu akinipa uzima ila issue ya kuchangisha watu kwa kweli siitaki !! Natamani baada process zote za mahari nitakua na ziada ya kiasi cha pesa nilichaoandaa mimi Kama 3M kwa ajili ya sherehe ndogo na nitaalika watu muhimu wa kwenye circle yangu tu natamani wasizidi 30! Ila story za kusumbua watu na kadi sizitaki !! Kabisa , wazazi watakua wabishi lakini itabidi waelewe tu !!! Otherwise sifanyi harusi na sifungi ndoa.
 
Sawa iyo ni nzuri ,inabidi tu nijifinze ila Mimi ndio naanza maisha sijawahi kuchangia wala kuombwa mchango naona Sasa imefika zamu yangu.
 
Mimi nina mawazo kama ya mtoa mada mwakani nitafunga ndoa ! Mungu akinipa uzima ila issue ya kuchangisha watu kwa kweli siitaki !! Natamani baada process zote za mahari nitakua na ziada ya kiasi cha pesa nilichaoandaa mimi Kama 3M kwa ajili ya sherehe ndogo na nitaalika watu muhimu wa kwenye circle yangu tu natamani wasizidi 30! Ila story za kusumbua watu na kadi sizitaki !! Kabisa , wazazi watakua wabishi lakini itabidi waelewe tu !!! Otherwise sifanyi harusi na sifungi ndoa.
Shida sometimes wanawake wanapenda sana sherehe ,ukisema hivyo unakuta ananuna .
 
[emoji3] Sasa hapo unawaza nini..,hapo utakunywa na kula adi ukimbie iyo harusi mwenyewe..,shida ni kuomba ndiyo inakuwa ngumu aiseee
Ndio hcyo namm nashindwa kuwaeleza watu nais nawachora tu mm nwdhni kiwango kimeshapatikana hyo hyo itatosha

Yaani Happ cjanunua suti Wala viatu nearly napazw kuwa na laki 300000

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hawataki kunisikiliza ,nikisema nataka harusi iwe simple hawataki kusikia..,
Bado hujakua,na huwezi kujisimamia, ndo maana wanakusimamia. Mimi huwezi kunipangia jambo langu. Nipo tayari tugombane ili kile ninacho kisimamia nitekeleze,ili mradi nisimame katika haki na maadili.
 
Michango inaumiza kichwa
Michango inakera
Michango haileti usingizi
Michango inaharibu afya ya akili.
Michango Ina leta stresss
Michango ni unafiki
Michango....
 
Shida sometimes wanawake wanapenda sana sherehe ,ukisema hivyo unakuta ananuna .
😂😂 Na ukifuata kila anachokitaka mwanamke itakugharimu sana , vingine tunaforce kibingwa !! Mwanamke yupo tayari hata muingie madeni lakini sherehe ifanyike !

Unamuuliza mrembo hapa naona hujishughulishi na chochote kwanini tusifanye kisherehe kidogo halafu baadhi ya pesa nikufungulie Goli sehemu angalau usiwe mama wa nyumbani ujishikie visenti kidogo uwe na uhuru wa kifedha !! Atanuna atakwambia tutatafuta nyingine ila sherehe ya kufana ifanyike !

Baada ya muda huyo huyo atakurudia analalamika hapendi kukaa nyumbani ,ukimwambia we si ndo ulisema tutafuta nyingine ! Anakuruka anakwambia we si ndo kichwa cha Familia kwanini hukunizuia 😀
Fear women.
 
Habari za saa watanzania wenzangu,

Namshukuru Mungu Kwa kuzidi kuniongoza katika safari ya maisha ,Mimi ni kijana ninaye chukia sana kitu kinaitwa mchango wa harusi ,ni Bora niombe mchango wa matibabu lkn sio harusi,nilibahatika kupata kazi mwezi wa tano mwaka huu ,ila pia Kwa neema za Mungu pia nilibahatika kukutana na mwanamke niliye kuwa naishi naye tangu chuo na hatimaye akapata ujauzito pindi tu tulivyomaliza chuo,alitamani sana tufunge harusi,sikuwa na kipingamizi chochote,kwasababu pia nilikuwa nampenda .changamoto wazazi wake na baba mkubwa wake wanataka harusi ambayo kiuhalisia Mimi Sina uwezo huo wa kualika watu wengi ila nilikuwa nauwezo wa kualika wazazi wangu na wazazi wa mke wangu na mashaidi wachache sana bila kuomba mchango wowote ,inshort watu 10 tu ,ila sasa wazazi wangu hawataki harusi ya namba iyo wanataka kujulisha ndugu hasa mzee wangu anapenda sana sifa ,za kutaka Kila mtu uko kijijini ajue ,

Ninachoka sana nikiwaza hili ,ila Kwa bahati nzuri mzee ana marafiki ambao aliwachangia sana harusi ila awamu hii anataka ela zake zirudi ,nimejitoa na kukaa pembeni kisubiri tu iyo siku ifike ya harusi Kwa maana sielewi,nilipenda sana harusi iwe simple IL Sasa wazee wamekuwa wagumu kutaka kunielewa ,wao wanataka harusi ya umati mkubwa ndugu uko kijijini wajue[emoji51].

Ukweli ni kwamba nashindwa kuelewa huu utaratibu wa kuomba mchango wa harusi Kwa ndugu jamaa na marafiki ,nimekuwa na waza sana ni Kwa nini jamii imeweka huu utaratibu tangu zamani,nachoka Kwa hichi kipindi kuelekea kufunga harusi,siwezi kuomba naona ni utaratibu wa ajabu sana ,kusumbua watu eti kisa ninaoa.

Hapa wazazi wangu wanasema ni add watu Kwa group la wasap kuwajulisha naoa [emoji51] aisee nikiwaza sipati majibu nachoka akili,na wazazi na ndugu wa huyu mke wangu wanapenda harusi kupita maelezo,
Siku si nyingi wazazi wanawatambulisha home wakwe na ndugu wa huyu mke wangu ,hapa wazazi wanapanga debe za mbege walizo ambiwa na hao wazee wa huyo mke wangu na wao pia wanachoka ila ki ukweli pia wazazi wangu wanapenda sifa za kutaka kuonekana wanafanya harusi Kwa ajili ya mtoto wao.

Naomba Ushauri wenu wadau.
UNatamani kufunga harusi?
 
Tupo wengi ambao hatupendi makelele ya harusi….mimi kile kitendo cha kukaa mbele na watu wanakutazama kama video sipendi kabsa…

mi nimepanga ntafunga ndoa tena na wanawake 2 ndani ya wk 1 Au 2….kuhusu harusi ntawapromise wazee next year tutafanya hayo mambo….wakikubali ndo ntolee hyo
 
Habari za saa watanzania wenzangu,

Namshukuru Mungu Kwa kuzidi kuniongoza katika safari ya maisha ,Mimi ni kijana ninaye chukia sana kitu kinaitwa mchango wa harusi ,ni Bora niombe mchango wa matibabu lkn sio harusi,nilibahatika kupata kazi mwezi wa tano mwaka huu ,ila pia Kwa neema za Mungu pia nilibahatika kukutana na mwanamke niliye kuwa naishi naye tangu chuo na hatimaye akapata ujauzito pindi tu tulivyomaliza chuo,alitamani sana tufunge harusi,sikuwa na kipingamizi chochote,kwasababu pia nilikuwa nampenda .changamoto wazazi wake na baba mkubwa wake wanataka harusi ambayo kiuhalisia Mimi Sina uwezo huo wa kualika watu wengi ila nilikuwa nauwezo wa kualika wazazi wangu na wazazi wa mke wangu na mashaidi wachache sana bila kuomba mchango wowote ,inshort watu 10 tu ,ila sasa wazazi wangu hawataki harusi ya namba iyo wanataka kujulisha ndugu hasa mzee wangu anapenda sana sifa ,za kutaka Kila mtu uko kijijini ajue ,

Ninachoka sana nikiwaza hili ,ila Kwa bahati nzuri mzee ana marafiki ambao aliwachangia sana harusi ila awamu hii anataka ela zake zirudi ,nimejitoa na kukaa pembeni kisubiri tu iyo siku ifike ya harusi Kwa maana sielewi,nilipenda sana harusi iwe simple IL Sasa wazee wamekuwa wagumu kutaka kunielewa ,wao wanataka harusi ya umati mkubwa ndugu uko kijijini wajue[emoji51].

Ukweli ni kwamba nashindwa kuelewa huu utaratibu wa kuomba mchango wa harusi Kwa ndugu jamaa na marafiki ,nimekuwa na waza sana ni Kwa nini jamii imeweka huu utaratibu tangu zamani,nachoka Kwa hichi kipindi kuelekea kufunga harusi,siwezi kuomba naona ni utaratibu wa ajabu sana ,kusumbua watu eti kisa ninaoa.

Hapa wazazi wangu wanasema ni add watu Kwa group la wasap kuwajulisha naoa [emoji51] aisee nikiwaza sipati majibu nachoka akili,na wazazi na ndugu wa huyu mke wangu wanapenda harusi kupita maelezo,
Siku si nyingi wazazi wanawatambulisha home wakwe na ndugu wa huyu mke wangu ,hapa wazazi wanapanga debe za mbege walizo ambiwa na hao wazee wa huyo mke wangu na wao pia wanachoka ila ki ukweli pia wazazi wangu wanapenda sifa za kutaka kuonekana wanafanya harusi Kwa ajili ya mtoto wao.

Naomba Ushauri wenu wadau.

Sherehe sio lazima.
Kama kwako ni lazima au Kwa Wahusika wako ikiwemo wazazi basi fanyeni inayolingana na kipato chenu. Waambie wazazi kuwa hutaki kusumbua Watu michango.
Waambie utafanya harusi ya milioni mbili au tatu kulingana na uwezo wako.

Hao wanaotaka ufanye harusi waambie wafanye harusi wao, au wafanye anniversary ili wapate michango kama lengo ni michango
 
Kati ya kitu kinachonikera ni michango ya harusi. Huwa sichangii na sitaki watu waje wanichangie kwenye harusi yangu.

Uzuri ni kwamba my wife to be hana ulimbukeni wa kufanya show off.

Nitaalika marafiki wachache sana. Ukichanganya na ndugu zetu hawatazidi watu 20. Ndoa tunafunga asubuhi siku ya kazi.
 
Em kwanza nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe mambo huwa mazito hv!
 
Back
Top Bottom