UTEKELEZAJI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 365
- 938
Ni kweli mkuu. Pia harusi sio lazima. Mwaka 2016 mtu wangu wa karibu alifunga ndoa na mkewe kanisani alafu wakeanda nyumbani kupumzika na ni mtu mwenye kipato kikubwa sana. Kwa wakati huo angeweza kufanya hata harusi ya milioni 70 kwa pesa zake. Ndugu walimaindi sana lakini hakuna namna. Anaishi na mkewe kwa amani zote hadi sasa. Huyu jamaa hachangii sherehe yoyote ile hiyo ni kanuni yake.Hakikisha harusi yako unagharamia kila kitu mwenyewe hakikisha hakuna mtu anatoa hata mia yake ,utakuja kunishukuru