- Thread starter
- #21
Nakuona sukuma gang original. Mungu wako kafa, ulijipa mpk jina lakeEndelea kuota nyumbuzzz
Nakuona sukuma gang original. Mungu wako kafa, ulijipa mpk jina lakeEndelea kuota nyumbuzzz
🤣🤣Mwenzako Tundu Lissu alisema hivyohivyo....vipi Robert Amsterdam amemtosa?!!!Mkaa bure siyo sawa na mtembea bure. Nitakutumia mahakama za Afrika mashariki na Afrika. Ikibidi nitaenda hata the Hague
Ushauri mzuri huu. NauchukuwaFor your safety i dont think its a good idea ukianzia huku nyumban.
Maybe uanze kushtaki ukiwa nje
Sasa si umjibu kwa hoja tu, matusi ya Nini? Mtikila alifungua kesi ya kikatiba, hata huyu anaweza kwa Hilo analowaza.Bado unabreed miaka yote hiyo ndio maana akili zimekufa kabisa
USSR
Tundu Lisu hajawahi kuongea chochote kuhusu Samia na kauli yake hii🤣🤣Mwenzako Tundu Lissu alisema hivyohivyo....vipi Robert Amsterdam amemtosa?!!!
Netanyahu na Sakozy wameshitakiwa atakuwa Samia?
Wapuuzi mnajifurahisha........Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".
Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.
Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana konga yoyote..
Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".
Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.
Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana konga yoyote..
Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
Yuko Mbinguni anakula raha za milele wewe bado uko duniani unaendelea kukipata cha moto angawaje hayupo.Nakuona sukuma gang original. Mungu wako kafa, ulijipa mpk jina lake
Mtazamo wako tu huu
Mbingu hii hii ninayoijua mm au mbingu gani? Sema yuko jehanamu anakula vitasa vya motoYuko Mbinguni anakula raha za milele
Vipi ulishawahi fika Jehanamu?Mbingu hii hii ninayoijua mm au mbingu gani? Sema yuko jehanamu anakula vitasa vya moto
Kwa makosa aliyotenda akiwa rais tu. Mm namshitaki mhe. Samia siyo rais SamiaKatiba hairuhusu kumshtaki rais mahakamani, jaribu novena na albadir
Hata mimi baada ya kusoma katiba, nimeona ni hivyo kuwa kinga yake haihusiani na makosa aliyoyafanya kabla hajawa Raisi.Kwa makosa aliyotenda akiwa rais tu
Asante kwa kutia nyama mkuu
Shukurani mkuuHata mimi baada ya kusoma katiba, nimeona ni hivyo kuwa kinga yake haihusiani na makosa aliyoyafanya kabla hajawa Raisi.
Na niliwahi andika hivi hapa JF siku za nyuma:Shukurani mkuu