Nakusudia kufungua kesi dhidi ya mhe. Samia (alitenda kosa kabla hajawa rais)

Nenda mahakamani umetupa ajenda tutakufungulia Space tukujadili.
 
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".

Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.

Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana kinga yoyote ya kikatiba..

Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
She is worthless, Watz wasahalifu sana washasahau leo wanaimba na kuabudu.

Mama mitano tena
 
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".

Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.

Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana kinga yoyote ya kikatiba..

Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
Hiyo kes utaenda mahakaman mpaka utachoka. Nakushauri upange chumba karibu na mahakama, ukichomoka kwako, unachomokea mahakaman kupunguza Nauli.....
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".

Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.

Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana kinga yoyote ya kikatiba..

Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
 
Na niliwahi andika hivi hapa JF siku za nyuma:

Safi sana
 
Back
Top Bottom