Nakusudia kufungua kesi dhidi ya mhe. Samia (alitenda kosa kabla hajawa rais)

Mkaa bure siyo sawa na mtembea bure. Nitakutumia mahakama za Afrika mashariki na Afrika. Ikibidi nitaenda hata the Hague
🤣🤣Mwenzako Tundu Lissu alisema hivyohivyo....vipi Robert Amsterdam amemtosa?!!!
 
Netanyahu na Sakozy wameshitakiwa atakuwa Samia?
19059991_1386835601392897_3757162351071440092_n.jpg
 
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".

Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.

Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana konga yoyote..

Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
Wapuuzi mnajifurahisha........
you are mocking us!!???
 
D2B3730F-8624-4E3B-B0F8-705B43478EF6.jpeg

Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".

Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ambayo baadaye ilikuja kutekelezeka kama kauli ya Samia ilivyosema. Ushahidi wa hili ni kuzagaa kwa kura bandia zilizosambazwa nchi nzima ktk mabegi meusi.

Hivyo anakusudia kufungua kesi dhidi yake kwa matamshi haya maana ktk kipindi hiki alikuwa hana konga yoyote..

Kesi hii nikishinda Samia anavuliwa urais (atakuwa disqualified) na atapelekea gerezani.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Katiba hairuhusu kumshtaki rais mahakamani, jaribu novena na albadir
 
Shukurani mkuu
Na niliwahi andika hivi hapa JF siku za nyuma:

Back
Top Bottom