kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
.....Ni bigijii!
ikiwa ngumu unaitema ....
.....Ni bigijii!
.... utamu ukiisha unaitema ....loooh.
..Ahahaaa Paloma umenchekesha
ikiwa ngumu unaitema ....
unaweza tia sukari na iliki au karafuu ukapata ladha unayoipenda!!!
..........aah aah! unailainisha kwa maji moto.......inakuwa laini zaidi kuliko mwanzo!!!
............. Nimeipenda hii.unaweza tia sukari na iliki au karafuu ukapata ladha unayoipenda!!!
........Itakuwa ni copy siyo orijino
..........aah aah! unailainisha kwa maji moto.......inakuwa laini zaidi kuliko mwanzo!!!
najua sana shemasi
lol basi nakufaham,au kubadili jina la id imekuchanganya?