Nakupenda sana

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
''NAKUPENDA. Bila kujali hisia zako za moyoni kuhusu huu ujumbe nnauokupa, mi nakupenda. Hata kama hujawahi kudhani kwamba hisia zetu zaweza kufanana, mi nakupenda, na napenda kuona unaishi kwa furaha. Kwa hiyo nitafurahia maamuzi yako yoyote ikiwa nawe yatakufurahisha, ndiyo.. hata kama hutonijali na kukaa kimya, au kuniangalia kwa mshangao na kusonya au hata kunicheka na kunidharau,ikiwa vinakufurahisha basi sina shida. huwezi kubadili hisia zangu.

Lakini haina maana kwamaba nataka uwe na mimi maishani kwa sababu sitakufurahisha. Ndiyo. Kwa hiyo nakusihi umtafute umpendaye ili na wewe umfurahie hata anapojaribu kukuudhi. Na hapo utaonja ladha ya hisia ambazo mimi nimeonja kutoka kwako. Kwa kuwa huwezi kuvuna furaha kutoka kwangu, na kwa kuwa napenda ufurahie maisha yako, nakushauri umtafute bwana furaha..popote mbali nami. Kwa sababu NAKUPENDA."
 
Jaman mhusika ananjijua au? hebu aje anusuru nafsi ya mtu huku.
 
Aisee. I hope she changes her mind and love you back. Hongera kwa kutokuwa m'binafsi katika mapenzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…