Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
ok wewe nionjee utanipa feedback mi nataka wa mwisho..si unajua wa mwisho unyamwezini ni wa kwanza uchagani? so atanifaa pia
Bora mlivyoelewana, maana nilianza pata kazi nani awe wa nani maana wote ni mashosti...