Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,513
Mtani snowhite mwambie huyo shemeji yako apime sehemu nyingine sio hapo kwa mnyamwezi,maana dada Kaunga huo mzigo aliofungasha na hawa wachaga wa mjini asije akaomba mcheso wa kiislamu kweli babangu,lol.Sikonge mwambie huyu mtani amuonye shemeji yake
Toa kiwingu hapa na wewe, unamtisha Kaunga anione mie firauni
wakati taratibu tunakaribia kufikia muafaka?..LoL..
Mwache The Bosss aendelee kusinzia kama hajaachwa....mjini hapa abiria chunga mzigo wako!
Aah bwana nyie mnafaa kwa matumizi ya shopping malls tu, ya chumbani ni kaka zangu bwana. Usijali naweza kukufanya kidumu, maana mimi na The Boss tuna very special and state of the art arrangement. Lol
Waaooo... Kaunga wala usiwe na wasiwasi itabidi kuchanga tu karata vizuri huyo The Boss tutadeal naye kiutu uzima achana na maneno ya Kikungu anataka tu kutibulia wenzake!