Nakupenda sana Shetani

Mungu ana uwezo wa kumgeuza shetani juu chini,kulia kushoto

akam'benua akamfirigisa lakini hajafanya hivyo kamuacha makusudi

mimi ni nani hadi nimchukie huyo shetani kiasi cha kumlaani na kumpoteza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wakijibu haya maswali bas mm kesho naenda kuunga juhudi kwa gwajima
 
Wewe ni wakala kama mawakala wengine...tuuu acha hizo kazi mpokee YESU awe Bwana na mwokozi wa maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…